Kwanini unga hauwadhuru wasanii wa Majuu?

Wanajitahidi kula vizuri..Pia wanapiga ngada yenye viwango..Sio hizi takataka wanazokula hawa wabongo
 
Wanathirika vile vile.Sema wana huduma nzuri zaidi za afya.
Mfano Witney Houston, Bobby Brown,Mary J.Blige, Natalie Cole,Alexander Oneal,Chriss Kelly wa Kriss Kross, K-Ci and Jojo, Monifah, T.I, DMX na Flavour Flav.
Sabau ni changamoto za ujana,kufanya kazi usiku ,utajiri na shinikizo la kuendelea kuwa nyota.
 
Ngada halina mzungu, Mwarabu wala Mmatumbi... ukìiendea lesi lazima ikutoe nishai!
 
Inavyosemekana haya madawa ukitumia kidogo sio vibaya na had I utumie kidogo inabidi uwe self controlled, ila kwa hapa bongo watu hawana self control
 
Wanabwia machafuchafu ya Pakistani,Afghanistan lazima waharibikiwe.
 
Wanaathirika sana tukihesabu waliofariki kwa madawa bongo na mbele mbele wanazidi idadi. Huduma bora za afya na rehab pia zinachangia kuokoa maisha ya wasanii wa mbele, pia sababu ya kipato wao wanatumia pure sio crack wanazopata walalahoi.

Bangi sio dawa za kulevya wasanii wengi hasa mbele wanatumia bangi na si unga. Hata Obama kawahi kutumia bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…