Olumolongez
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 818
- 299
Michael Jackson alizidisha dawa za kutuliza maumivu na daktari wake aliruhusu hilo ndiyo maana baada ya uchunguzi huyo daktari alishitakiwa na akafungwa. Wasanii wengi wa majuu ni watu wenye uelewa kushinda wa kwetu wa madhara ya mihadarati. Na pia kule kuna huduma bora zaidi za kuwahudumia watu wenye urahibu wa mihadarati tofauti na huku.Michael Jackson alikufaje? Tunaweza kusema over 60% wa ulaya na marekani wanauwawa na madawa ya kulevya.