Kwanini unga hauwadhuru wasanii wa Majuu?

Kwanini unga hauwadhuru wasanii wa Majuu?

Michael Jackson alikufaje? Tunaweza kusema over 60% wa ulaya na marekani wanauwawa na madawa ya kulevya.
Michael Jackson alizidisha dawa za kutuliza maumivu na daktari wake aliruhusu hilo ndiyo maana baada ya uchunguzi huyo daktari alishitakiwa na akafungwa. Wasanii wengi wa majuu ni watu wenye uelewa kushinda wa kwetu wa madhara ya mihadarati. Na pia kule kuna huduma bora zaidi za kuwahudumia watu wenye urahibu wa mihadarati tofauti na huku.
 
Pia Jean Claude van damme, anaonekana kazeeka kuliko Chuck Norris. Wakati kiumri Damme kazaliwa mwaka wa1960 Wakati Chuck Norris kazaliwa mwaka wa 1940, sawa na mtu na mwanae.
 
Wasanii wa Ulaya / Marekani ( wabwia unga ) wanakula balanced diet huku Wasanii wa Kibongo ( wabwia unga ) wanakula just a diet.

Mlo kamili wa msanii Jay Z anayetumia dawa za kulevya ni kama ufuatao:

  • Maziwa
  • Cornflakes
  • Bread
  • Vegetables
  • Chocolate
  • Meat
  • Spaghetti
  • Irish Potatoes
  • Hamburger
  • Pizza
  • Chicken
  • Fish
Mlo kamili wa msanii Mfaume anayetumia dawa za kulevya ni kama ufuatao:
  • Kisamvu
  • Maharage ya kiporo
  • Chips za mafuta ya Transfoma
  • Mchicha ulioungua
  • Dagaa waliochacha
  • Pilau bichi
  • Wali nyama aliyepikiwa na Nzi ndani yake
  • Maziwa fresh ya Ng'ombe mwenye Kifaduro
  • Kuku waliokuzwa kwa vidonge vya kukuza makalio ( matako ) ya Dada zetu.
  • Maji ya kunywa ya Mto Ruvu yaliyojambiwa sana na Mamba na Viboko
Mkuu kwa mtiririko huo wa hapo juu nadhani utakuwa umeshapata jawabu la swali uliloliuliza. Nakutakia kila la kheri!
Hahahahahaha mnyarwanda umetisha sana .

urakoze cyane[emoji3]
 
hahhahahahahahahha
 
Fatilia hawa watu Amy Winehouse, Whitney Houston, na mwanae..ilikua vipi halafu utajua unga unafanyaga nini...
 
Whitney alikufa kwa madawa unataka madhara gani?
 
Back
Top Bottom