Kwanini unga hauwadhuru wasanii wa Majuu?

Kwanini unga hauwadhuru wasanii wa Majuu?

Wasanii wa Ulaya / Marekani ( wabwia unga ) wanakula balanced diet huku Wasanii wa Kibongo ( wabwia unga ) wanakula just a diet.

Mlo kamili wa msanii Jay Z anayetumia dawa za kulevya ni kama ufuatao:

  • Maziwa
  • Cornflakes
  • Bread
  • Vegetables
  • Chocolate
  • Meat
  • Spaghetti
  • Irish Potatoes
  • Hamburger
  • Pizza
  • Chicken
  • Fish
Mlo kamili wa msanii Mfaume anayetumia dawa za kulevya ni kama ufuatao:
  • Kisamvu
  • Maharage ya kiporo
  • Chips za mafuta ya Transfoma
  • Mchicha ulioungua
  • Dagaa waliochacha
  • Pilau bichi
  • Wali nyama aliyepikiwa na Nzi ndani yake
  • Maziwa fresh ya Ng'ombe mwenye Kifaduro
  • Kuku waliokuzwa kwa vidonge vya kukuza makalio ( matako ) ya Dada zetu.
  • Maji ya kunywa ya Mto Ruvu yaliyojambiwa sana na Mamba na Viboko
Mkuu kwa mtiririko huo wa hapo juu nadhani utakuwa umeshapata jawabu la swali uliloliuliza. Nakutakia kila la kheri!
Ha ha ha ha umetisha mkuu.
 
Mkuu mbona 50 kuna video yake YouTube akiwa show south america paparazzi hakupiga hodi akamkuta ana peng'a lakini ushawai kusikia 50 ni teja na niwakumbushe wote wasanii wengi wa hiphop marekani wengi wameuza madawa hood na hivyo wamejaribu kuyatumia,,,

Mfano mwengine madon wa hizi biashara kuanzia kina Pablo Escobar, Gacha, mpaka kizazi hiki kina El chapo ambao ukweli ni kwamba wanatumia unga, je ushawai kusikia ni mateja ?????

Kuhusu viwango vya cocaine vipo kuna class A hii ni pure ila ukija class chafu nyingine drug dealers ili wapate faida wanachanganya cocaine na substance nyingine ili uzito uongezeke
Tatizo unafanya Maamuzi kubase katika Speculation tu!! iko kipande cha 50 kushukiwa anasniff cocaine alikua Zagerb Coroatia!! alionekana ameinama katika meza akiwa amezungukwa na wenzake... ila huwezi kuconclude moja kwa moja ni mtumiaji wa cocaine....

kuhusu suala kama wauzaji wa cocaine nao ni watumiaji apo pia ni conclusive judgement unajuaje kama anatumia... japo watumiaji wengi hua hawakubali hadharani kama ni watumiaji ila Cocaine haimfichi mtu... ukianza kuvuta tu madhara yake yataonekana tu!! ata uwe unakula kuku mayai nyama madiko diko ila utaisha tu!!
 
Najiulizaga sana hivi ni kwanini unga cocaine hutumiwa na wasanii wengi sana majuu lakini bado wapo fiti labda kwa zamani ndo kina whitney houston na bobby brown ndo waliharibikiwa, ila ukija bongo wasanii wakigusa tu ndo kwaheri mfano kina chidi, rayc, tid, mfaume, daz baba, qchief, na wengine tushawapoteza kama kina ngwea na Langa

Mwenye uelewa tupe darasa
Kwenye kifo shetani huwa hana upendeleo kwasababu anacho fanya ni kukupatia tu usafiri wa kuondokea,iwe ni kwa madawa ya kulevya,wizi,kuji toa uhai,ulevi n.k kwani katika hayo utakuwa ni mfuasi wake mtiifu una ondoka lini ni swala la kujipangia mwenyewe, hakuna walio kufa zamani tu na hata sasa wana kufa duniani kote kwa haya haya madawa ni siku utakayo jioverdose tu moyo ukazidiwa nguvu wala kina Whitney si wa zamani walikufa kina Elvis Plesley, Jimmy Hendricks na Merylin Monroe ni vifo vya aibu wanakufa wengi majina huta yasikia yote,pamoja na hayo wale kule tofauti na hawa wale wana uwezo wa kifedha wa kubadili Damu inapo chafuka (blood transfusion) hawa wakwetu uwezo huo haupo,wale wana tumia lishe na suppliments hawa jamaa zetu ni biskuti na fanta,kwa kiasi nadhani ina kidhi uelewa wako.
 
Tatizo unafanya Maamuzi kubase katika Speculation tu!! iko kipande cha 50 kushukiwa anasniff cocaine alikua Zagerb Coroatia!! alionekana ameinama katika meza akiwa amezungukwa na wenzake... ila huwezi kuconclude moja kwa moja ni mtumiaji wa cocaine....

kuhusu suala kama wauzaji wa cocaine nao ni watumiaji apo pia ni conclusive judgement unajuaje kama anatumia... japo watumiaji wengi hua hawakubali hadharani kama ni watumiaji ila Cocaine haimfichi mtu... ukianza kuvuta tu madhara yake yataonekana tu!! ata uwe unakula kuku mayai nyama madiko diko ila utaisha tu!!

Coca ukiona inavutwa ujue ni crack, coka tunasniff mkuu hatuvuti
 
Sawa Mkuu... nilikua namaanisha kusniff ila asante kwa kunirekebisha mkuu!!
Afu cocaine kwa gram ni 150,000 kitaa wasanii wengi wanaishia kutumia ile crack ya buku 5 ambayo ndio inachizisha kinoma, kama ray c alivyobambwa na mateja sidhani kama kwenye lile kundi la walalahoi kuna anaeweza kununua gram 150k so nadh9ani ilikuwa ni crack coke pale Tena kwa level ile ya addiction I think gram haitoshi bali ni 8 ball ya kuanzia 500,000 ndo itakidhi mahitaji kama hawatatumia crack, teja yupi yupo tayari kutoa 500k kwa siku
 
Wanathirika vile vile.Sema wana huduma nzuri zaidi za afya.
Mfano Witney Houston, Bobby Brown,Mary J.Blige, Natalie Cole,Alexander Oneal,Chriss Kelly wa Kriss Kross, K-Ci and Jojo, Monifah, T.I, DMX na Flavour Flav.
Sabau ni changamoto za ujana,kufanya kazi usiku ,utajiri na shinikizo la kuendelea kuwa nyota.
Kale Katoto ka home alone... Kheee yupo hoi
 
mpotezee huyo atakusumbua kwenye tuzo za mtv kama sikosei ni 2013 or 2014 mwenyewe eminem alikiri kutumia dmx kupitia bet alikuwa anaomba msaada yupo hovyo yy anafikir sisi hatuwajui hao na wote wanakwambia cocain music
Yaani anasema mtu yupo clean Kwa miaka8sasa anakuwa Shia sio unga lakini hakwambii tatizo [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji78] [emoji78] nimempotezea hata mie
 
Hahahaaaaaa. Ungekubali tu kuwa punda, sasa hivi ungekuwa vizuri zaidi.
Masharti ya mihadarati ukiifuata vizuri ni rahisi sana kuacha kama ukitaka.
Baadhi ya masharti rahisi sana ni kutumia mihadarati kwa wakati maalum na kwa kiwango maalum ili kuepuka kujiover dose, ni kama dose ya hospitali tu. Pia unatakiwa kula mlo kamili na uwe mnywaji mzuri sana wa maji (mara kwa mara). kamwe usitumie Mihadarati pamoja na pombe. Vijana wengi ndo hupotea hapa, mihadarati na pombe ni kama moto na petroli, chagua moja, pombe au mihadarati.
Kuhusu kufichua wauza madawa naweza, lakini ninaowafahamu ni vidagaa tu, mapapa hata siwafahamu.
Karibu chamani mkuu
OK na mm NAANza kutumia ya kipimo
 
Najiulizaga sana hivi ni kwanini unga cocaine hutumiwa na wasanii wengi sana majuu lakini bado wapo fiti labda kwa zamani ndo kina whitney houston na bobby brown ndo waliharibikiwa, ila ukija bongo wasanii wakigusa tu ndo kwaheri mfano kina chidi, rayc, tid, mfaume, daz baba, qchief, na wengine tushawapoteza kama kina ngwea na Langa

Mwenye uelewa tupe darasa

Wanasema unga wa bongo ni mtamu mno, ukilamba kidogo huwezi ach hivi hivi lazima ufe nao. Vipi, kwani uko katika harakati za kupima unga upi ni bora ili ujikite huko nini?
 
Swali langu naulizia kwamba 50 Cent bado anatumia Crack Cocaine au atumii. Maana interview nyingi anaojiwa lakini uwa akuna jibu la Ukweli.
Jibu kwa anayejua
 
Swali langu naulizia kwamba 50 Cent bado anatumia Crack Cocaine au atumii. Maana interview nyingi anaojiwa lakini uwa akuna jibu la Ukweli.
Jibu kwa anayejua
Crack cocaine ya walalahoi .
Broke niggaz in the hood, tajiri na Huyu ni coca tu hizo crack sio level za 50
 
Back
Top Bottom