Jihan
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 146
- 67
Ha ha ha ha umetisha mkuu.Wasanii wa Ulaya / Marekani ( wabwia unga ) wanakula balanced diet huku Wasanii wa Kibongo ( wabwia unga ) wanakula just a diet.
Mlo kamili wa msanii Jay Z anayetumia dawa za kulevya ni kama ufuatao:
Mlo kamili wa msanii Mfaume anayetumia dawa za kulevya ni kama ufuatao:
- Maziwa
- Cornflakes
- Bread
- Vegetables
- Chocolate
- Meat
- Spaghetti
- Irish Potatoes
- Hamburger
- Pizza
- Chicken
- Fish
Mkuu kwa mtiririko huo wa hapo juu nadhani utakuwa umeshapata jawabu la swali uliloliuliza. Nakutakia kila la kheri!
- Kisamvu
- Maharage ya kiporo
- Chips za mafuta ya Transfoma
- Mchicha ulioungua
- Dagaa waliochacha
- Pilau bichi
- Wali nyama aliyepikiwa na Nzi ndani yake
- Maziwa fresh ya Ng'ombe mwenye Kifaduro
- Kuku waliokuzwa kwa vidonge vya kukuza makalio ( matako ) ya Dada zetu.
- Maji ya kunywa ya Mto Ruvu yaliyojambiwa sana na Mamba na Viboko