The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
- #41
Kwa hyo naweza kusaga ngano isiyokobolewa pembeni kisha nikachanganya unga wake na unga wa dona au lazima nichanganye vyote kwa pamoja ndio nisage?Ninachokwambia ni kweli kabisa, usiukoroge uji tho!
Uji koroga wa dona kama kawaida ila wakati wa kusonga ugali, changanya ngano(isokobolewa) na dona, inakuwa kama umeweka unga wa muhogo.
Ni mtamuuuuu.