Kwanini ununue gari ambayo gearbox ina gear ratios(more speed numbers) nyingi? Nini faida yake?

Kwanini ununue gari ambayo gearbox ina gear ratios(more speed numbers) nyingi? Nini faida yake?

Nje kidogo ya mada. Kumekuwa na ongozeko ya watu kutumia gas. Ni nini advantages na disadvantages ya kutumia mfumo huu. Check engine light inakuwa on muda water. Je kuna njia ya ku clear?
 
Hii inaweza kuwa na hizo gear 4,5, au 6 lakini zinasifika kwa kuwa na matumizi mazuri ya mafuta na kuchanganya upesi.

Ikumbukwe hizi zinatumia mkanda badala ya hizo gear kwenye transmission.
Kuwa na matumizi mazuri ya mafuta ni sahihi kabisa.... Zamani hata mimi nilikuwa najua CVT inachanganya faster ila practically siyo kweli....

Kwa Gearbox zilizozoeleka

DSG ndio inaongoza kwa kuchanganya.

Manual Transmission iko nafasi ya pili

Traditional Automatic Transmission iko nafasi ya tatu.

CVT iko nafasi ya nne. CVT inashika mkia sababu Wameilimit kwenye ECU ili belt isije ikaslip.
 
Na huu ni utafiti wa lini mkuu?
Kumbuka gari inapobadili gear kutoka moja kwenda nyingine ni very smooth kwenye CVT. Wameendelea kuboresha hiyo mikanda mara kwa mara kukabiliana na hiyo changamoto ya kuteleza.

Tatizo kubwa kwenye CVT ni kelele. Hadi sasa matoleo yanayotengenezwa na Toyota ni bora kuliko kampuni mwenza wa Nissan ambae zinatumiwa na makampuni mengi sana ya magari.
 
Mfano una gari 2;,

1 ya diesel yenye 250hp na 420nm torque
2 ya petrol yenye 250hp na 280nm torque.

Mkiwa safarini, yupi atamnyanyasa mwenzake? Yupi atafika kabla ya mwenzake?

Kiukweli nashindwa kujua.

Ingawa Torque na speed vipo inversely propotional.

Speed inapokuwa kubwa torque inazidi kuwa ndogo.
 
Na huu ni utafiti wa lini mkuu?
Kumbuka gari inapobadili gear kutoka moja kwenda nyingine ni very smooth kwenye CVT. Wameendelea kuboresha hiyo mikanda mara kwa mara kukabiliana na hiyo changamoto ya kuteleza.

Tatizo kubwa kwenye CVT ni kelele. Hadi sasa matoleo yanayotengenezwa na Toyota ni bora kuliko kampuni mwenza wa Nissan ambae zinatumiwa na makampuni mengi sana ya magari.
Yes CVT iko smooth kwenye acceleration as hauisikii ikibadili gear lakini ipo slow.

Hebu angalia mfano tu hii video. Hizo gari ni za Between 2010 hadi 2013

Na huu ni utafiti wa lini mkuu?
Kumbuka gari inapobadili gear kutoka moja kwenda nyingine ni very smooth kwenye CVT. Wameendelea kuboresha hiyo mikanda mara kwa mara kukabiliana na hiyo changamoto ya kuteleza.

Tatizo kubwa kwenye CVT ni kelele. Hadi sasa matoleo yanayotengenezwa na Toyota ni bora kuliko kampuni mwenza wa Nissan ambae zinatumiwa na makampuni mengi sana ya magari.
Toyota kwenye CVT wao wanatumia chain sio mikanda kama wengineo!
 
Hujajibu swali. Gear ratio ni nini?
Gear ration ni umbali wa kutoka gear moja kwenda nyingine ama mzunguko wa gearbox kutoka gear moja kwenda nyengine in accordance with engine rotation.

Kwa mfano kubadilika kwa gear kwenye gari! Uzoefu wa gari yangu navyoiskiaga!

Gear 1:Speed ya gari huwa kati ya 12-20kph

Gear 2: Speed ya gari huwa kati ya 21-37kph

Gear ya 3: Speed ya gari huwa kati ya 38-57kph

Gear ya 4: speed ya gari huwa kati ya 58-67kph

Gear ya 5: speed ya gari huwa 70kph au zaidi!
 
Hujajibu swali. Gear ratio ni nini?
Ndani ya Gearbox kuna sides mbili.

Side ya kwanza ipo connected na engine (Hii side inakuwa na driving gears)

Side ya Pili ipo connected na Final drive(matairi) (Hii side inakuwa na driven gears)

Sasa ili power iweze kuwa transfered kwenda kwenye matairi ni lazima gear ya side moja imatch na gear ya side nyingine.

Sasa ratio ambayo utaipata kutoka kwenye size ya hizo gears mbili zilizomatch ndio gear ratio.

Nasubiri swali what is gear
 
Gari yenye gear 5 imalize gear zote around 70???
 
Ndani ya Gearbox kuna sides mbili.

Side ya kwanza ipo connected na engine (Hii side inakuwa na driving gears)

Side ya Pili ipo connected na Final drive(matairi) (Hii side inakuwa na driven gears)

Sasa ili power iweze kuwa transfered kwenda kwenye matairi ni lazima gear ya side moja imatch na gear ya side nyingine.

Sasa ratio ambayo utaipata kutoka kwenye size ya hizo gears mbili zilizomatch ndio gear ratio.

Nasubiri swali what is gear
umeua. Sina swali
 
Toyota mbona anazo A650E hii ni 5 speed, A960E hii ni 6 Speed sema magari yanayopendwa na wabongo wengi ni ya A340E yenye gia 4 au 4 Speed ambayo mengi ni ya around 1800CC kushuka chini...
 
Toyota mbona anazo A650E hii ni 5 speed, A960E hii ni 6 Speed sema magari yanayopendwa na wabongo wengi ni ya A340E yenye gia 4 au 4 Speed ambayo mengi ni ya around 1800CC kushuka chini...
Anazo kama u151e, u251e

Kwenye Lexus RX300 na Baadhi ya matoleo ya Camry.

A650 kwenye Brevis A960 kwenye mark X n.k.

Ila gari nyingi ni 4 speed.... Hasa gari ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya japanese market.
 
Kiukweli unaweza usione faida yoyote lakini faida ipo tena kubwa tu.

Kuna faida kuu mbili

1. Gari ina accelerate faster

2. Gari inakuwa na matumizi mazuri ya mafuta.

Tuachane na gearbox za manual kwanza. Naomba tuzungumzie Automatic Transmissions tu.

Kila kila gear inayokuwa engaged huwa kunakuwa na range ya rpm ambapo hapo ndio maximum power inakuwa transfered kwenda kwenye matairi.

Below hiyo RPM power transfered inakuwa ndogo. Ndio maana itakuwa ni ngumu sana kuaccelerate faster ikiwa gari itaanza na gear namba 5 (let say). Gari itaondoka kwa shida sana.

Ukiwa na fewer gear ratios, utaspend muda mrefu sana kutoka gear moja kwenda gear nyingine. Wakati ukiwa ukiwa na gear ratio nyingi, muda mwingi utaspend katika band ambayo ndio power kubwa inakuwa transfered.

Gari yenye gear ratio nyingi ina accelerate faster kuliko kuliko gari yenye gear ratios chache...

Pia inakuwa na matumizi mazuri ya mafuta kwa sababu engine haiwi kwenye mzigo mkubwa muda mwingi ukilinganisha na gari yenye gear ratios chache...

Ndio maana gari nyingi za mzungu zinaaccelerate faster kuliko gari za mjapani sababu wao walishatoka huko kwenye 4 speed transmission ambazo zimejaa kwa mjapani.

Mjapani anatumia gearbox zenye gear ratios nyingi kwenye matoleo machache sana. Ila gari zake nyingi anaweka tu 4 speed transmission.

Wajapani wa JF karibuni.

Kama unahitaji Diagnosis na repair ya gari lako, 0621 221 606.
Kwanini umeeweka pembeni gari za manual?
 
JituMirabaMinne
Offshore Seamen
Hili dubwasha unaliewa kazi yake vizuri?

Pili unaelewage ukisia AMG version? naona kama kuwa ka msemo wa madali wengi.. AMG versio inakuwaje asee

Screenshot_20220114_222746_com.instagram.android.jpg
 
JituMirabaMinne
Offshore Seamen
Hili dubwasha unaliewa kazi yake vizuri?

Pili unaelewage ukisia AMG version? naona kama kuwa ka msemo wa madali wengi.. AMG versio inakuwaje asee

View attachment 2081539

Jana bwana nilikuwa na mausingizi nikawa sielewi hata umetuma kitu gani.

Kama kawaida ya madalali wetu.

Hiyo gari kwenye picha ni Mercedes Benz Kompressor C200. Maana nimeenda kuziangalia na picha zake zingine🤣🤣🤣🤣

Hakuna AMG C class ya Cc1780🤣🤣🤣 Na kama ingekuwepo basi Benz wangekuwa wametoa bonge la Boko.

C class AMG kwa toleo hilo ni Cc6200 petrol

Hakuna AMG C Class ya top speed ya 260, Tena kwa Cc hizo zinazotajwa hapo mbona ingekatwa na gari nyingi sana?

AMG C Class ni 320kph....

Hiyo gari pichani CIF pamoja na kodi haivuki hata 22m.

Mtu anaenda kupigwa na kitu kizito. 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom