Hii inaweza kuwa na hizo gear 4,5, au 6 lakini zinasifika kwa kuwa na matumizi mazuri ya mafuta na kuchanganya upesi.Na yenyewe inakuwa na Gear ratios.... unaweza kuta zipo 4,5,6 n.k.
Mfano una gari 2;,Na yenyewe inakuwa na Gear ratios.... unaweza kuta zipo 4,5,6 n.k.
Kuwa na matumizi mazuri ya mafuta ni sahihi kabisa.... Zamani hata mimi nilikuwa najua CVT inachanganya faster ila practically siyo kweli....Hii inaweza kuwa na hizo gear 4,5, au 6 lakini zinasifika kwa kuwa na matumizi mazuri ya mafuta na kuchanganya upesi.
Ikumbukwe hizi zinatumia mkanda badala ya hizo gear kwenye transmission.
Kuwa na matumizi mazuri ya mafuta ni sahihi kabisa.... Zamani hata mimi nilikuwa najua CVT inachanganya faster ila practically siyo kweli....
Kwa Gearbox zilizozoeleka
DSG ndio inaongoza kwa kuchanganya.
Manual Transmission iko nafasi ya pili
Traditional Automatic Transmission iko nafasi ya tatu.
CVT iko nafasi ya nne. CVT inashika mkia sababu Wameilimit kwenye ECU ili belt isije ikaslip.
Mfano una gari 2;,
1 ya diesel yenye 250hp na 420nm torque
2 ya petrol yenye 250hp na 280nm torque.
Mkiwa safarini, yupi atamnyanyasa mwenzake? Yupi atafika kabla ya mwenzake?
Yes CVT iko smooth kwenye acceleration as hauisikii ikibadili gear lakini ipo slow.Na huu ni utafiti wa lini mkuu?
Kumbuka gari inapobadili gear kutoka moja kwenda nyingine ni very smooth kwenye CVT. Wameendelea kuboresha hiyo mikanda mara kwa mara kukabiliana na hiyo changamoto ya kuteleza.
Tatizo kubwa kwenye CVT ni kelele. Hadi sasa matoleo yanayotengenezwa na Toyota ni bora kuliko kampuni mwenza wa Nissan ambae zinatumiwa na makampuni mengi sana ya magari.
Hujajibu swali. Gear ratio ni nini?Waswahili ndio wanaita gear...
Yaani mtu anaposema Hii gari ina gear 4, gear 5 n.k.
Wenzetu wanaita 4 speed, 5 speed n.k
Toyota kwenye CVT wao wanatumia chain sio mikanda kama wengineo!Na huu ni utafiti wa lini mkuu?
Kumbuka gari inapobadili gear kutoka moja kwenda nyingine ni very smooth kwenye CVT. Wameendelea kuboresha hiyo mikanda mara kwa mara kukabiliana na hiyo changamoto ya kuteleza.
Tatizo kubwa kwenye CVT ni kelele. Hadi sasa matoleo yanayotengenezwa na Toyota ni bora kuliko kampuni mwenza wa Nissan ambae zinatumiwa na makampuni mengi sana ya magari.
Gear ration ni umbali wa kutoka gear moja kwenda nyingine ama mzunguko wa gearbox kutoka gear moja kwenda nyengine in accordance with engine rotation.Hujajibu swali. Gear ratio ni nini?
Ndani ya Gearbox kuna sides mbili.Hujajibu swali. Gear ratio ni nini?
Hizo chain ni za hovyo ni bora hata mikanda ya Subaru.Toyota kwenye CVT wao wanatumia chain sio mikanda kama wengineo!
Gear ration ni umbali wa kutoka gear moja kwenda nyingine ama mzunguko wa gearbox kutoka gear moja kwenda nyengine in accordance with engine rotation.
Kwa mfano kubadilika kwa gear kwenye gari! Uzoefu wa gari yangu navyoiskiaga!
Gear 1:Speed ya gari huwa kati ya 12-20kph
Gear 2: Speed ya gari huwa kati ya 21-37kph
Gear ya 3: Speed ya gari huwa kati ya 38-57kph
Gear ya 4: speed ya gari huwa kati ya 58-67kph
Gear ya 5: speed ya gari huwa 70kph au zaidi!
Mkuu gear ya automatic ikiingia si unaziskia tofauti na CVT mkuu!Gari yenye gear 5 imalize gear zote around 70???
umeua. Sina swaliNdani ya Gearbox kuna sides mbili.
Side ya kwanza ipo connected na engine (Hii side inakuwa na driving gears)
Side ya Pili ipo connected na Final drive(matairi) (Hii side inakuwa na driven gears)
Sasa ili power iweze kuwa transfered kwenda kwenye matairi ni lazima gear ya side moja imatch na gear ya side nyingine.
Sasa ratio ambayo utaipata kutoka kwenye size ya hizo gears mbili zilizomatch ndio gear ratio.
Nasubiri swali what is gear
Anazo kama u151e, u251eToyota mbona anazo A650E hii ni 5 speed, A960E hii ni 6 Speed sema magari yanayopendwa na wabongo wengi ni ya A340E yenye gia 4 au 4 Speed ambayo mengi ni ya around 1800CC kushuka chini...
Kwanini umeeweka pembeni gari za manual?Kiukweli unaweza usione faida yoyote lakini faida ipo tena kubwa tu.
Kuna faida kuu mbili
1. Gari ina accelerate faster
2. Gari inakuwa na matumizi mazuri ya mafuta.
Tuachane na gearbox za manual kwanza. Naomba tuzungumzie Automatic Transmissions tu.
Kila kila gear inayokuwa engaged huwa kunakuwa na range ya rpm ambapo hapo ndio maximum power inakuwa transfered kwenda kwenye matairi.
Below hiyo RPM power transfered inakuwa ndogo. Ndio maana itakuwa ni ngumu sana kuaccelerate faster ikiwa gari itaanza na gear namba 5 (let say). Gari itaondoka kwa shida sana.
Ukiwa na fewer gear ratios, utaspend muda mrefu sana kutoka gear moja kwenda gear nyingine. Wakati ukiwa ukiwa na gear ratio nyingi, muda mwingi utaspend katika band ambayo ndio power kubwa inakuwa transfered.
Gari yenye gear ratio nyingi ina accelerate faster kuliko kuliko gari yenye gear ratios chache...
Pia inakuwa na matumizi mazuri ya mafuta kwa sababu engine haiwi kwenye mzigo mkubwa muda mwingi ukilinganisha na gari yenye gear ratios chache...
Ndio maana gari nyingi za mzungu zinaaccelerate faster kuliko gari za mjapani sababu wao walishatoka huko kwenye 4 speed transmission ambazo zimejaa kwa mjapani.
Mjapani anatumia gearbox zenye gear ratios nyingi kwenye matoleo machache sana. Ila gari zake nyingi anaweka tu 4 speed transmission.
Wajapani wa JF karibuni.
Kama unahitaji Diagnosis na repair ya gari lako, 0621 221 606.
JituMirabaMinne
Offshore Seamen
Hili dubwasha unaliewa kazi yake vizuri?
Pili unaelewage ukisia AMG version? naona kama kuwa ka msemo wa madali wengi.. AMG versio inakuwaje asee
View attachment 2081539