Kwanini ununue gari ambayo gearbox ina gear ratios(more speed numbers) nyingi? Nini faida yake?

Jana bwana nilikuwa na mausingizi nikawa sielewi hata umetuma kitu gani.

Kama kawaida ya madalali wetu...🤣🤣🤣🤣
Madalali sio watu wazuri kabisaa, kununua humu gari ndani ya nchi kwasababu unakuta una haraka ya gari tu, ila wapigaji sana na wengi wanalenga faida kubwa sanaaa.. 22m to 37m gape. kubwa sanaaa
 
Madalali sio watu wazuri kabisaa, kununua humu gari ndani ya nchi kwasababu unakuta una haraka ya gari tu, ila wapigaji sana na wengi wanalenga faida kubwa sanaaa.. 22m to 37m gape. kubwa sanaaa
Yaani mtu anayeuza performance car yoyote. Mwambie akutumie picha ya Dashboard. Chini ya 280 kimbia haraka.
 
JituMirabaMinne
Offshore Seamen
Hili dubwasha unaliewa kazi yake vizuri?

Pili unaelewage ukisia AMG version? naona kama kuwa ka msemo wa madali wengi.. AMG versio inakuwaje asee

View attachment 2081539
Daah wamekuona wewe Ni msukuma aisee [emoji1][emoji1][emoji1]

Wakimaliza hapo watakuuzia BMW 3 au 5 series ya kawaida halafu wakubandikie kile kilogo Cha M-series na uambiwe hii Ni M3 au M5 na uingie king
 
Daah wamekuona wewe Ni msukuma aisee [emoji1][emoji1][emoji1]

Wakimaliza hapo watakuuzia BMW 3 au 5 series ya kawaida halafu wakubandikie kile kilogo Cha M-series na uambiwe hii Ni M3 au M5 na uingie king
😀😀😀😀😀😀 Haiwezekanii aseeeee.. japo nimetoka matokoni mwa nchi.. machale yanacheza chezaaa 🤣🤣🤣.. huu sio mda wa kupigwa kabisaaa
 
Ractis iwe na mwendo kuliko tako la nyani? Alijua mnashindana?
Mkuu unaijua Ractis G package yenye auto vs manual? kufuta kisahani kwa muda mfupi ni kugusa tu ina 6 speed. CVT
 
Unachokisema ni kweli kabisa mkuu, Kuna siku nilikuwa na ractis yenye CVT gear box 1NZ,nilimuacha vibaya jamaa mwenyewe harrier tako la nyani mlimani mpaka akashangaa

Ila CVT ya Ractis ni 4 speed transmission.

CVT ni nzuri kwenye fuel consumption. Ila ipo limited kwenye mwendo.

Unless kama jamaa hakuwa anajua kama mnashindana.
 
Ila CVT ya Ractis ni 4 speed transmission.

CVT ni nzuri kwenye fuel consumption. Ila ipo limited kwenye mwendo.

Unless kama jamaa hakuwa anajua kama mnashindana.
Mkuu zipo za aina mbili, Kuna ya 4 na ya 6 hata 1NZ inayotumia ya 6 iko tofauti na 1NZ zingine
 
Mkuu zipo za aina mbili, Kuna ya 4 na ya 6 hata 1NZ inayotumia ya 6 iko tofauti na 1NZ zingine
Sawa japo CVT ndio haijatengenezwa kwa ajili ya mwendo.

Kwenye hard acceleration CVT utaikataa.
 
Labda hiyo Benz ilikuwa mbovu sana. Hivyo ikawa inachechemea.

Maana dah hilo haliwezekani.
Wakati mwingine mtu hataki ligi, hivyo unaweza kusema kwamba umeichakaza kume yeye bado hajafanya 100% ya utilization ya potentila ya Gari husika.
 
Utajuaje kujua gari ya auto ina gear ratio ngapi ?
Kwa gari za toyota unaweza kujua kirahisi sana.

Almost kila gari ya toyota inakuwa na kibati ambacho kinakuwa na taarifa za gari husika. Kinakuwa kule mbele ukifungua Bonet kwenye toyota za zamani au kwenye frame ya mlango wa mbele wa abilia kwa toyota za sasa.

Kwa Toyota hicho kibati kuna sehemu kinaandikwa Trans/Axle Mfano A42D ni 4 speed

A250 ni 5 speed

A960 ni 6 speed

AA80E ni 8 speed Transmission n.k.

Kwa gati kaka Benz baadhi utazikuta kule nyuma zimeandikwa

Mfano 7G tronic ni 7 Speed

Kwa gari kwa gari zilizobaki nyingi mpaka ufatilie hiyo model mtandaoni.
 
Ulichosema ni kweli kabisa mkuu, binafsi nilikuwa napata wakati mgumu sana kukubaliana na vile nilisikia kuwa gari yenye cvt inachanganya haraka kuliko Atf type 4 n.k

Nina washkaji zngu wanahizo gari ambazo ni toyota rumio na fielder 2009, kusema kweli zinapo anza kuondoka huwa zinalalamika sana yaaan nguvu inakuwa ndogo tena usiombe kuwe na kizuiz kama vile mchanga n.k.

Nikawa najisemea au zinatatizo hizi gari!? Sikuwahi kupata jibu hadi hapo ulvyozungumza aisee. Ila kwenye tambarare zipo vizuri sana na zinatumia mafuta vizuri sana aisee. Unawwza fika 80k/h rpm ipo kwenye 1000 (1).

Kwa gar nyingi ambazo hazitumii cvt speed kuanzia 80 kuendelea rpm lazma iwe chin kidogo ya 2000 (2) au zaid hataiwe kwenye mteremko.
 
Hii sio CVT ila angalia speed vs rpm
Your browser is not able to display this video.
 
Wajapani hawafanyi hvyo maana ni rahisi sana kwa engine yenye gear ratio kubwa kuharibika ukiringanisha na yenye ratio ndogo
Mzungu anaangalia sana performance na luxiury, mjapani kabase sana kwenye reliability
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…