Kwanini ununue gari ambayo gearbox ina gear ratios(more speed numbers) nyingi? Nini faida yake?

Nje kidogo ya mada. Kumekuwa na ongozeko ya watu kutumia gas. Ni nini advantages na disadvantages ya kutumia mfumo huu. Check engine light inakuwa on muda water. Je kuna njia ya ku clear?

Hii ni kutokqna na uchumi mbovu wa watanzania, ila kumbuka hayo magari hayajatengenezwa kwa ajili ya njia hyo, na fuel sometyms inakuwq kama lubricant kwenye engine, kama gari lako sio tegemezi weka ila kama ni tegemezi usiweke mpaka baada ya mda mre
 
Wajapani hawafanyi hvyo maana ni rahisi sana kwa engine yenye gear ratio kubwa kuharibika ukiringanisha na yenye ratio ndogo
Mzungu anaangalia sana performance na luxiury, mjapani kabase sana kwenye reliability
Ndio maana vilio vya kuwa Harrier ni jini vimetawala kila mahali.

Gari ina engine kubwaaaaa gearbox kidunchu.

Vanguard inakuja na the same engine ila with 7 speed Continous Variable Transmission.

Ila Consumption yake yake haifananii na Harrier.

Harrier ya 2.4L consumption yake ni Level za Toureg ya 3.2L au hata 3.6L. Hapo sijagusa harrier ya 3.0L
 
Wajapani hawafanyi hvyo maana ni rahisi sana kwa engine yenye gear ratio kubwa kuharibika ukiringanisha na yenye ratio ndogo
Mzungu anaangalia sana performance na luxiury, mjapani kabase sana kwenye reliability

Mbona vanguard haifi engine kijinga??
 

[mention]JituMirabaMinne [/mention] mkuu pole na kazi..
Nakuomba,ukipata nafasi please tupe ABC
za hii gari mercides benz C class
C200 vs c180 ??
Compressor vs Avant-garde???

Vitu gani tuzingatie kabla ya kuagiza

Sitaki kufanya makosa ili nijifunze

Crown new shape 2010 vs c200
Unamshauri kijana mwenye mishe za mjini achukue ipi?

Usiache kuni tag mkuu.[emoji1488]
 

C180 vs c200 toleo lipi? W203, W204 au W205?


Kulinganisha Kompressor na Avant-garde ni kulinganisha vitu ambavyo havifanani.

Kompressor kwenye mercedes inamaanisha Supercharger (not turbocherger japo zote ni forced induction).

Avant-garde ni trim level, mfano ni kama unavosema LandCruiser GX.R, VX, GX, VX.R n.k. Benz wao wana Classic, Elegance, Avant-garde. n.k.

Crown 2010 vs C200.

Nitaconsider C200 W204 maana ndio gari itakuwa inafanania mwaka na hiyo Crown. Na Crown tuchukue ya 4GR-FSE.

Kwa mwaka 2010, C200 inakuja M271 1.8L engine yenye direct injection (CGI) with turbo charger ikiwa inatoa 184HP huku ina 5G tronic transmission ambayo ni gear 5 (Japo kuanzia 2012 walishift kutoka 5G tronic kwenda 7G tronic ambayo inakuwa na gear 7 na ni nzuri zaidi kuliko 5G tronic).

Pia kwa huo mwaka 2010, C200 ina BlueEfficiency technology, Hii tech inafanana na blueMotion kwenye VW. Hii BlueEfficiency siyo specific thing ila technology ambayo imekuwa applied kwenye mifumo mbalimbali kwenye gari kuanzia engine, gearbox, body, tyres, n.k. ili kuhakikisha gari inakuwa na consumption nzuri ya mafuta huku wakipunguza emmission.

So far ni gari nzuri in both ways, fuel consumption na Performance.

Kwa upande wa Crown, kwa 2010 it means ni GRS200. Inacome na engine tofauti tofauti lakini ndogo zaidi ni 4GR-FSE ambayo inakuwa na Cc2500 ikiwa inatoa around 204HP.

Ni natural aspirated lakini Direct Injection kama ilivyo benz tu. Pia inakuja na gearbox ya gear 5.

Upande wa spea gari zote mbili spare bei iko juu, Japo C200 bei itakuwa juu zaidi kuliko hiyo GRS200. Advantage moja tu, Spea za Crown utazipata kiurahisi kuliko hizo spare za benz.

Tuhitimishe.

Kama unataka Performance. Chukua Crown 2010. Japo Crown mwisho wake ni 180kph.

Kama unataka fuel efficiency chukua C200. Japo utofauti ni mdogo.

Mjerumani ametuangusha sana kwenye perfomance kwenye hii gari. Gari kama Audi A4 2.0TFSi Quattro inawagaraza wote wawili hapo juu kuanzia kwenye fuel efficient mpaka kwenye perfomance.

Ni hayo tu.
 

Asante sana mkuu
Umegusia kila ambacho nlikuwa natamani kukisikia
Nmekuelewa Vizuri,ila kuna jambo linanipa shida
Nkiangalia gari zinazouzwq bongo zina mileage ndogo around 40000km
Wakati kene website tofauti tofauti hizi gari zina mileage kuanzia 90000km.na ukipata chini ya iyo40000km bei iko juu sana.
Kwani watu wa yard wanaagiza wapi ambako si hatuzioni
Ukiachilia autocom,beforwad,SBT,jappanesse vehicles.

Na kama nkiamua kuchukua gari yard
Ntahakikisha vipi rangi na mileage ya gari kama ni OG
 

Hii Audi unayozungumzia ni ya mwaka gani mkuu
Nifatilie pia
 
Hii Audi unayozungumzia ni ya mwaka gani mkuu
Nifatilie pia

Hiyo ni Audi A4 B9 1.8 au 2.0 TFSi.

Ukiweza kujipinda chukua kuanzia 2013.

Kwa mwaka 2010 unaweza ukapata nzuri au ukaangukia kwenye kimeo kulingana na engine code.
 
Toyota Vanguard ina accelerate faster na NI Chuma ya Mjapani kwa Soko la Ulaya
 
Ishu ya mileage we jua tu wabongo wengi huwa wanazichezesha.

Wameshajua akili za wabongo kuwa wanapenda gari zenye mileage ndogo wakiamini ndio uzima wa gari, Basi nao wanaenda na beat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…