Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere? Wana chuki naye kiasi hiki

Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
Bora hao ambao hawakwenda kwenye hiyo shughuli ya kishirikina kuliko CCM ambayo imeua kabisa ile misingi mizuri aliyoiasisi Mwalimu Nyerere. Mnaacha kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa mnaadhimisha siku aliyokufa huu ni uchawi kabisa.
 
Kwenda pale ni kwenda kwenye zindiko la kishetani kabisa
Chadema mnaamini ushirikina sana, haha mkienda Kilimanjaro kuhesabiwa huwa mnachinja mbuzi usiku, mnatupa nyama kwenye kona za shamba, mbwa wakipita usiku wakazitafuna, mnasema wazee wamekula kwa hiyo tambiko limekubaliwa. Ushirikina mtupu
 
Chadema mnaamini ushirikina sana, haha mkienda Kilimanjaro kuhesabiwa huwa mnachinja mbuzi usiku, mnatupa my amazing kwenye kona za shamba, mbwa wakipita usiku wakazitafuna, mnasema wazee wamekula kwa hiyo tambiko limekubaliwa. Ushirikina mtupu
Lini ulienda ukakuta hicho kitu? CCM imejaa ushirikina tupu
 
Chadema mnaamini ushirikina sana, haha mkienda Kilimanjaro kuhesabiwa huwa mnachinja mbuzi usiku, mnatupa my amazing kwenye kona za shamba, mbwa wakipita usiku wakazitafuna, mnasema wazee wamekula kwa hiyo tambiko limekubaliwa. Ushirikina mtupu
Binadamu bhana hasa wanaojiita Wana CCM wana akili za hovyo sana humu Jamiiforums wangetuma Mwakilishi mngesema, hawajatuma mnasema. Jifunzeni basi kujishikilia 🤣🤣🤣
 
Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
hawana maono tena wale,

lakini zaidi sana,
hata ukiwatazama tu walivyo,
wamekata tamaa kabisa, na silaha ya mwisho waliyobaki nayo kisiasa ni ushirikina, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuchukua vijana misukule ili wapate uongozi ndani ya chama chao huku wakisingizia vitu vingine kabisa :pulpTRAVOLTA:
 
Kwa nini hizi kelele za kutokua na maono, zisiwepo kwa chauma au UDP?
 
hawana maono tena wale,

lakini zaidi sana,
hata ukiwatazama tu walivyo,
wamekata tamaa kabisa, na silaha ya mwisho waliyobaki nayo kisiasa ni ushirikina, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuchukua vijana misukule ili wapate uongozi ndani ya chama chao huku wakisingizia vitu vingine kabisa :pulpTRAVOLTA:
Kweli kabisa, lile tukio la mzee vibao nadhani ni sehemu ya matambiko yao
 
Back
Top Bottom