maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Uzi wa kuelezana kwanini uko macho mpaka sasa
Mi nko macho kwa sababu leo nna mawazo sana nimevurugwa na nimpendaye najua apa kupata usingizi labda saa 8 hivi
Na wewe endelezea...... ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nko macho kwa sababu leo nna mawazo sana nimevurugwa na nimpendaye najua apa kupata usingizi labda saa 8 hivi
Na wewe endelezea...... ..
Sent using Jamii Forums mobile app