Kwanini upo single?

Wanne mkuu,
Halafu nampenda sana huyu mwanamke, she's the definition of an African lady kuanzia muonekano, shape hadi akili.
CC: Atoto
Hongera sana mkuu mtunze huyo mchuchu vizuri ni tunu kubwa sana usije ukampoteza wahuni wakimdaka umekwisha 😜😜😜
 
Kila kitu kipo kwa sababu, watu wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa sababu mbalimbali zinazoeleweka kabisa kama kujenga familia nk.

Sasa kwa nyinyi mlio single Nipe Sababu ya msingi kabisa kwa nini upo single?.
Binafsi siamomi mwanamke yeyote zaidi ya Mama yangu mzazi na dada zangu tu
 
Mie juzi tu mtoto kaja kusimama mvua kwa shop, Eeh bana si kimasihara nikaomba namba kakatoa haka kafesti yea😀😀 basi sikutaka kuzunguka baada ya stor mbili tatu nkasema naomba niulipie muda wako kakajibu fresh! Ila nomba nilipie 35000 ya bima, nilipie na kiatu pale dukani nilipokukuta coz nilikipenda japo sikujaribishaa😄😄🚮 kwa staili hii niache nibaki singooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…