ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Watu au wewe mkuu😂😂Huko kujinadi unafahamu watu pole shushia maji kama yapo karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu au wewe mkuu😂😂Huko kujinadi unafahamu watu pole shushia maji kama yapo karibu
Vyovyote kiazi mbatataWatu au wewe mkuu😂😂
I was kidding bwana, usichukulie siriaz!Vyovyote kiazi mbatata
Sawa Msalimie bibiI was kidding bwana, usichukulie siriaz!
Nipo single😂Sawa Msalimie bibi
Nyeto/Kupanda Mnazi hapna bossTenedelee na nyeto mzeya masharti yalisha tuengua mapemaaaa.
Hahahah hatariKabisa mshahara tarehe 15 kwishney lakini kibamia kinatamani kina hamisa mobeto wapi na wapi ndio maana tunaishia kungetuka na mlenda vuguvugu
Ndalama inapiga chenga kuliko ata messi mwenyeweHahahah hatari
Sitak dipresheni kama maziwa napata yanini nifuge moo😅Dipresheni acha kujifariji bwana🤣
Vuta mtoto wa wenyewe chaap, akupunguzie na kukuongezea dipresheni taratiiibu.
Hahah hizi points watu tulijua kuzionea aiseee.Point ni zile zile
1. Lack of capital
2. Poor infrastructure
3. Competition from sponsors
4. Poor government support
5. Unemployment
6. Poor transportation.
Zinatosha hapo utaweka introduction na conclusion.
Maziwa gani wewe, acha kujifariji.Sitak dipresheni kama maziwa napata yanini nifuge moo😅
Hii kesi hata balozi hatoisuluhisha.
Asee nimecheka sana!Kwahiyo ninyi mlio oa mna mahela sana eeh.
Mnadhani hatuwaoni mtaani mnavyoishi na familia zenu ?.Wengi wenu mlikurupuka tu na sasa ivi mnajutia maamuzi yenu ya kijinga.Mnazaa na kuvitesa viumbe visivyo kuwa na hatia.
Unakuta mtu anaishi na mke wake na watoto wawili lakini cha ajabu anashindwa hata kuipatia familia yake balance diet.
Watoto wanakula mboga za majani kila siku kama vile hakuna vitu vingine vya kula.
Wacha bwana!!Nipo single😂