Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Au sio Yan kwahyo wanaleta sheria kama za microfinance kwamba il wakukopeshe kazima account yako iwe na laki moja🤣
Mie sina shida kuhusu hilo....ukiaeka kigezo hicho hakikisha basi sura tako na matiti yanaenda na hilo takwa lako.
Sasa sura ya baba alafu unaweka matakwa makubwa kubwa sii ujinga huo
 
Hiyo itakuwa mambo ya indirect forced labour, ndo hukimbiza watu.
 
1. Lack of security
2. Selfishness
3. Ignorance(lack of education)
 
Back
Top Bottom