Kwanini upo single?

πŸ˜€πŸ˜€
 
Dunia yenyewe ina idadi ya watu Zaidi ya bilioni 7 afu unasikia eti bado Kuna watu wapo single πŸ€”
Inashangaza Sana.
 
Jamani Mimi naomba msaada wa mawazo naona ka nimerogwa hivi Kuna Binti nilikuwa na mazoea nae vibaya sana sema sio ya kimapenzi.......muda ulisonga weeeh actually mwisho wa siku tukajikuta tu imooo tunapendana kupita kiasi. Mimi kutokana na harakati za maisha sikutaka sana mazoea yazidi kwaiyo nikasepa na hatukuagana hivo vizuri. Mtihani unakuja tangu siku nimeachana nae sikuwa na amani hata kidogo na Kila nikitaka anzisha mahusiano mengine hayafiki hata miezi 2 yanakufa mambo yanakuwa sio kabisa 🀨 ila nikisema nimtafute tuongee kwa simu nikimaliza najiskia vizuri Yani amani kabisa na vitu vyangu vinasonga vizuri..Nimebaki delema kwel Jamani najiuliza ni kwamba kameniroga au ni maombi au ndo destiny yangu Iko hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…