Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Kwahiyo ninyi mlio oa mna mahela sana eeh.

Mnadhani hatuwaoni mtaani mnavyoishi na familia zenu ?.Wengi wenu mlikurupuka tu na sasa ivi mnajutia maamuzi yenu ya kijinga.Mnazaa na kuvitesa viumbe visivyo kuwa na hatia.

Unakuta mtu anaishi na mke wake na watoto wawili lakini cha ajabu anashindwa hata kuipatia familia yake balance diet.

Watoto wanakula mboga za majani kila siku kama vile hakuna vitu vingine vya kula.
😀😀
 
Dunia yenyewe ina idadi ya watu Zaidi ya bilioni 7 afu unasikia eti bado Kuna watu wapo single 🤔
Inashangaza Sana.
 
Jamani Mimi naomba msaada wa mawazo naona ka nimerogwa hivi Kuna Binti nilikuwa na mazoea nae vibaya sana sema sio ya kimapenzi.......muda ulisonga weeeh actually mwisho wa siku tukajikuta tu imooo tunapendana kupita kiasi. Mimi kutokana na harakati za maisha sikutaka sana mazoea yazidi kwaiyo nikasepa na hatukuagana hivo vizuri. Mtihani unakuja tangu siku nimeachana nae sikuwa na amani hata kidogo na Kila nikitaka anzisha mahusiano mengine hayafiki hata miezi 2 yanakufa mambo yanakuwa sio kabisa 🤨 ila nikisema nimtafute tuongee kwa simu nikimaliza najiskia vizuri Yani amani kabisa na vitu vyangu vinasonga vizuri..Nimebaki delema kwel Jamani najiuliza ni kwamba kameniroga au ni maombi au ndo destiny yangu Iko hapo
 
Back
Top Bottom