Enkaly
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 307
- 428
Katika vita hii inayoendelea kati ya Russia na Ukrain, moja ya influencer wakubwa wa mgogoro huu ni US, na kampan yake kwa kigezo watamlinda mdau wao Ukrain/Zelensky.
US kwa kuona mbali ukuaji wa uchumi wa ulaya hasa U Germany, iliingiwa na hofu, ikaandaa mkakati ambao umefikia leo.
Ikumbukwe kwamba miaka kadhaa, aliyekua chancellor wa Ujeruman Angela Markel, CIA walijaribu kudukuu au kuhack mazungumzo yake ya simu na Putin. Wakati huo mezani kukiwa na discussion ya BREXIT.
Wengi wetu tunafaham uchumi wa ulaya, sehem kubwa umeshikwa na Ujeruman, Ufaransa na Uingereza, hivyo ndani ya EU Uingereza imeshajitoa, zimesalia nchi mbili giant.
Hivi karibuni baada ya stream2 kukamilika, US ikaona Ujerman itapiga hatua kubwa sana kwa nishati hiyo, hivyo wakaanza leta vikwazo na mengineyo.
Vita vya uchumi vinaendeshwa kwa akili sana, US amekaa pembeni anachabo who is going to gain.