Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Hakuna action ya moja kwa moja?Argument yako inaweza kuwa sawa, lkn hakuna action ya moja kwa moja ya US kutaka kudhoofisha uchumi wa China, ila kwa ulaya ipo wazi.
Pili German inatafuta power iliyo poteza, ukiangalia kwenye sciences and Technologies Ujeruman ina mchango mkubwa sana, pengine kuliko nchi yoyote Duniani.
Hizo ban anazoipiga US kuanzia makampuni yake kibao yamekula sanctions.
Imerudi kuwa na power gani wakati bado iko pale pale. Germany anatengeneza machines that build machines kwa muda wote.
There is no way kwasasa Germany anaweza kumpita US kiuchumi. China peke yake nduye tishio kwake katika nyanja zote.