Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinzilankende[emoji28]Hivi hapa mnaongea lugha gani? Naona ukungu ukungu tuu mbele!
Una picha ya hyo lc 300 seriesNapata ukakasi kuwa magari mengi hapo mwishoni yalifichwa kusajiliwa ili wasubiri namba E, maana gari zilikuwa zinaingia watu wako na chasis tu wanategeana watu wamalizie waanze herufi mpya.
Huu ni umasikini sana sana kwa wenye magari madogo madogo eg, raum, IST, rumion passo nk. hawa watu wanauza gari zao kwa masikini wenzao kulingana na umri wa plate namba. Watu wenye pesa pesa kidogo kuvuta Vanguard, Harrier hili swala la kusubiri herufi E wala hawakuwa nalo ni hawa newcomers sana sana.
Mtaani kuna LC300, mwenye nalo hakuwaza hata limepewa DZU. Baada ya usajili E kuanza naona kasi yake ni kubwa kuliko DZ, mwishoni ilinata sana.
View attachment 2340659
Mnanichanganya hapo mnaposema zinakimbia. Zinakimbia kivipi? Mnajuaje kama inakimbia wakati kila mtu anasajili gari yake n.k..? Utajuaje kama imefika namba fulani? Je, unaweza ukajichagulia namba? Utajuaje kama hiyo imechukuliwa au la!? Namba husika huwa inasajili magari mangapi hadi iishe? Ni kwa muda gan? Vipi kuhusu piki piki? Je, haitatokea vyombo zaidi ya kimoja kutumia the same namba?Kinzilankende[emoji28]
mkuu mambo ya magari haya plate namba zilianza A", ikaja B,ikaja C,ikaja D na sasa ni "E"ndo habari ya mjini hasa kwa wanauza magari aukununua kwa kufata alphabetical order[emoji120]
Sina..si yako kibao hata serikali inatoa zawadi au huko kwenu hamna
Mental illnessMnanichanganya hapo mnaposema zinakimbia. Zinakimbia kivipi? Mnajuaje kama inakimbia wakati kila mtu anasajili gari yake n.k..? Utajuaje kama imefika namba fulani? Je, unaweza ukajichagulia namba? Utajuaje kama hiyo imechukuliwa au la!? Namba husika huwa inasajili magari mangapi hadi iishe? Ni kwa muda gan? Vipi kuhusu piki piki? Je, haitatokea vyombo zaidi ya kimoja kutumia the same namba?
Dah, mambo mengine yanachanganya sana.
jamaa hajaribiwi, kesho unaweza amka ukasikia kuna tozo ya plate number kweli.Weka tozo ya number plate ili kasi ipungue.
Magari mengi yaliyonunuliwa mwishoni wakati wa namba DZ yalikuwa yamewekwa tuu bila kusajiliwa namba wakingoja iingie namba E lakini pia hata wengi hawakuwa wakinunua magari wakisubira namba E ilipofika ndio mana unaona E inatembea fasta ila inatarudi kwenye mwendo wake tuu kama kawaida
Mnanichanganya hapo mnaposema zinakimbia. Zinakimbia kivipi? Mnajuaje kama inakimbia wakati kila mtu anasajili gari yake n.k..? Utajuaje kama imefika namba fulani? Je, unaweza ukajichagulia namba? Utajuaje kama hiyo imechukuliwa au la!? Namba husika huwa inasajili magari mangapi hadi iishe? Ni kwa muda gan? Vipi kuhusu piki piki? Je, haitatokea vyombo zaidi ya kimoja kutumia the same namba?
Dah, mambo mengine yanachanganya sana.
Sawa.Mental illness
Huku sio mahala pako
Tayari. Nielimishe![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kunywa maji kwanza
Mkuu we Nenda kaangalie zako tu series za kikorea.Mnanichanganya hapo mnaposema zinakimbia. Zinakimbia kivipi? Mnajuaje kama inakimbia wakati kila mtu anasajili gari yake n.k..? Utajuaje kama imefika namba fulani? Je, unaweza ukajichagulia namba? Utajuaje kama hiyo imechukuliwa au la!? Namba husika huwa inasajili magari mangapi hadi iishe? Ni kwa muda gan? Vipi kuhusu piki piki? Je, haitatokea vyombo zaidi ya kimoja kutumia the same namba?
Dah, mambo mengine yanachanganya sana.
Ngoja nitafute hela kwanza!Mkuu we Nenda kaangalie zako tu series za kikorea.
All the best mkuu.Ngoja nitafute hela kwanza!
Nitayajua tu hayo manamba na nitamiliki gari niliyosajili mwenyewe kwa mikono na jasho langu mwenyewe!