Kwanini usajili wa namba E kwenye magari unakimbia sana?

Una picha ya hyo lc 300 series

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kinzilankende[emoji28]

mkuu mambo ya magari haya plate namba zilianza A", ikaja B,ikaja C,ikaja D na sasa ni "E"ndo habari ya mjini hasa kwa wanauza magari aukununua kwa kufata alphabetical order[emoji120]
Mnanichanganya hapo mnaposema zinakimbia. Zinakimbia kivipi? Mnajuaje kama inakimbia wakati kila mtu anasajili gari yake n.k..? Utajuaje kama imefika namba fulani? Je, unaweza ukajichagulia namba? Utajuaje kama hiyo imechukuliwa au la!? Namba husika huwa inasajili magari mangapi hadi iishe? Ni kwa muda gan? Vipi kuhusu piki piki? Je, haitatokea vyombo zaidi ya kimoja kutumia the same namba?

Dah, mambo mengine yanachanganya sana.
 
Mental illness

Huku sio mahala pako
 
😗
 

Attachments

  • IMG-20220901-WA0002.jpg
    22.6 KB · Views: 28
  • IMG-20220901-WA0003.jpg
    116.4 KB · Views: 27
  • IMG-20220901-WA0000.jpg
    77.5 KB · Views: 31
  • IMG-20220901-WA0001.jpg
    56.1 KB · Views: 31
  • IMG-20220901-WA0004.jpg
    35.5 KB · Views: 30
  • IMG-20220901-WA0005.jpg
    43.7 KB · Views: 26

Sasa D imeishaje Kama magari yalikuwa hayasajiliwi?
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mkuu kunywa maji kwanza
 
Mkuu we Nenda kaangalie zako tu series za kikorea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…