Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huo moto pia una madaraja kama unavyoona maisha haya ya kiulimwengu. Kuna waliojaaliwa uwezo mkubwa kimali na wengine ni mafukara.Mwisho wa siku adhabu ni moto kwa hiyo ukubwa wa dhambi hauleti tofauti ya adhabu. Labda kama mwenye dhambi kubwa zaidi atakaangwa badala ya kuchomwa😏😏 basi hapo kunaweza kuwa na tofauti ya ukubwa dhambi.
Hata Waafrika ndiyo wangekuwa waanzilishi wa hizi dini halikadhalika majibu yangekuwa haya haya kwa upande mwingine, hakuna kipya chini ya jua.hizi dini mmeletewa ila mtengenezwe vile wakoloni wenu wanavyotaka.
mchawi mkuu ni huyo aliyekuletea Qur'an na anaongea na kula na majini
Hebu nendeni mkaongee na mizimu ya kwenu mfunguliwe mambo yenu muache ujinga
Leta Hilo andiko tafadhali.Hata huo moto pia una madaraja kama unavyoona maisha haya ya kiulimwengu. Kuna waliojaaliwa uwezo mkubwa kimali na wengine ni mafukara.
Quran15:44Leta Hilo andiko tafadhali.
Sister eee mbona nikitaka kukutumia message PM inakataa?Shirk ni fitna
Shirki ni fitna
Shirk ni fitna
Inaleta ugomvi,inaleta hasara inaleta ufakiri na pia inafanya watu wasimtegemee Mungu
Maelezo yako ni mengi ila hayana tija, huyo mungu wako umeambiwa na wakoloniHabari zenu
Hivi ulishawahi kukaa chini na kujiuliza kwanini amri ya kwanza ya Mungu kwenye Torati imekemea suala la Ushirikina kabla ya kukemea uuaji, uongo, ushoga, uzinzi ,wizi n.k??
Kwanini iwe ni suala la Ushirikina? Kwanini vilevile kitabu cha Quran kikaja tena kupigilia msumari ww Moto kwa kusema Mungu anasamehe dhambi zote ila Ushirikina ?
Rejea nami katika kitabu cha kutoka Sura ya 20:
1 Mungu akanena maneno haya yote akasema,
2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu
Ama ukirejea katika kitabu kitakatifu unakutana na amri hiyo hiyo katika Sura ya 17:23
"Na Mola wako mlezi ameamrisha msimuabudu yeyote ila YEYE tu"
Kama hiyo haitoshi ikaelezwa tena kuwa
Quran 31:13
"Na Luqman alipo mwambia mwanawe kwa kumpa mawaidha: Ewe mwanangu! Usimshirikishe Mwenyezi Mungu. Kwani hakika ushirikina bila ya shaka ni dhulma iliyo kubwa."
Kwanini Ushirikina iwe ndio dhambi kubwa?
Ngoja nitolee mfano wa kilimwengu ili twende sambamba
Kuna uzi humu Jamii Forum unaooleleza kuhusu mwanamke aliyependwa sana na Mumewe, akapewa kila kitu kuanzia chakula,gari, zawadi mbalimbali na pia watoto!! Kifupi mumewe alimpenda mnoo na wakaishi vizuri tu ila yule mwanamke akamsaliti mumewe kwa kutembea na mfanyakazi mwenzie wa ofisini, za mwizi ni arobaini,mumewe akajua...tokea hapo mumewe akaupoteza upendo wote aliokuwa nao.Wachangiaji wa mada wakasema kuwa huyo mwanamke ametenda kitendo kiovu na kibaya mno kwa mume aliyempenda sana na kumtendea kila aina ya wema ila yeye aliamua kumlipa malipo ya usaliti, wengine wakaenda mbali wakasema ni ngumu kwa huyo mwanaume kupona majeraha yake.Na kibaya zaidi yule mwanamke akasema kuwa upendo uliokuwepo slzamani wote uliisha.
Kwanini?
Jibu ni kuwa Mwanamke aliamua kumshirikisha mumewe ( ambaye ni mmiliki halali kwake) na mwanaume mwingine. Wanaadamu tuna wivu mkali sana na Mungu aliyetuumba ana wivu mkubwa zaidi yetu wanaadamu kiasi hataki kusikia kuwa mwanadamu amemshirikisha na kitu chochote kile.Yeye ndiye mmiliki halali wa viumbe vyote hapa duniani na mbinguni hivyo anaghadhibika na kuchukia mno pindi mwanadamu anapoabufu miungu mingine na kumuacha YEYE
Kutokana na hili Mungu akauandaa Moto mkali wa Jahannam kwa ajili ya wote ambao watakufa wakiwa hawajaitubia hii dhambi ya ushirikina.
Mungu ndiye mtoa Riziki kwa viumbe vyote ila mwanadamu anaona aende akaabudie mashetani kupitia waganga ili apate rizki anbayo inatoka kwa Mungu. Kitendo kama hiki ni mifano katika mifano mingi ya ushirikina, yaani kuamini kwamba kuna mungu/miungu mingine inayoweza kukupa riziki pamoja na MUNGU muumba ndio mfano wa ushirikina.
Ukiichukua haki ya MUNGU na kumpa kiumbe au kitu chochote kile hapo utakuww umetenda dhambi ya ushirikina . Fikiria kuwa ikiwa mwanadamu tu anachukia sana pindi akijua kuwa mkewe amemsaliti kwa mwanaume mwingine ,vp MUNGU akiona kuwa unaabudu mizimu ,majini na vinyamkera vingine pamoja NAYE? Hasira zake juu yako zikoje, wakati yeye ndiye aliyekuumba toka tumboni mwa mama yako, akajaalia ukazaliwa salama,akakujaalia macho,masikio n.k ambavyo huvilipii chochote na akakupa hewa na chakula bure, akakupa na uzao ila mwisho wa siku ukaona umlipe kwa Kumshirikisha YEYE na miungu mingine.Ukaona vyema ukasujudu kwenye miti mikubwa huko porini kuiomba mizimu ikujaalie ufanikiwe biashara zako, ukaona bora ukasujudie kaburi la babu yako umuombe akutatulie matatizo yako, ukaona bora ukachonge sanamu uwe unalisujudia na kuliomba usiku na mchana likufanyie wepesi mambo yako ,ukaona ni bora sifa ya uungu ukampe mwanadamu mwenzako aliyezaliwa na mwanamke kama wewe ili akupe uzima wa milele na ukamsahau MOLA WAKO MLEZI!!
Mfano wa mwisho wa Ushirikina ni huu.
Ni mfano wa tajiri mwenye biashara aliyeajiri wafanyakazi wengi kisha akawa anawalipa na kuwahudumia kila kitu ila jioni wale wafanyakazi wakishamaliza kuuza bidhaa za boss wao,mauzo yote wanakwenda kumpa mtu mwingine ambaye hata hausiani na ile kampuni tena wakidai yule mtu ndiye boss wao.
Hivi unadhani huyu tajiri ataghadhibika na kuchukia kiasi gani kww tendo hilo?
Ukishajua haya ndio utajua kwanini amri ya kwanza MUNGU amekemea kuhusu KUSHIRIKISHWA NA YEYOTE AU KITU VHOCHOTE KATIKA MAMLAKA YAKE.
Nani kakwambia hayo maneno zaidi ya wakoloni?Hivi nani mwenye akili kati ya yule aliyeusalimisha uso wake kwa MUNGU aliyeumba mbingu na ardhi au yule ambaye anakwenda kuabudu Mizimu (Mashetani wa kijini ) ambao pia wameumba na Mungu ?
Mungu wangu ndiye anayelitoa jua mashariki na kulizamisha magharibi..sasa mwambie Mungu wako ww alitoe magharibi na alizamishe masharikiMaelezo yako ni mengi ila hayana tija, huyo mungu wako umeambiwa na wakoloni
Mungu yu hai kabla ya hata ya kuumbwa mwanadamuNani kakwambia hayo maneno zaidi ya wakoloni?
Hamna hyo ishi na upendo ndo nguzo kuuBiblia ni soga za kutungwa vile Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe. Hapa duniani kanuni inayotawala maisha ni "golden rule".
Yaani usimfanyie mwenzako kile ambacho usingependa wewe kufanyiwa.
Ukiielewa hii kanuni wala hautahitaji hizo soga za kibiblia kuanza kukupa muongozo. Mimi ndio ninavyoendesha maisha yangu. Nilishaacha kufuatilia mambo ya dini/madhehebu baada ya kukaa seminary miaka saba nilikuja kugundua tunapigwa.
Mkuu habari za mungu unajua kuwa ni kutoka kwa wakoloni?Mungu wangu ndiye anayelitoa jua mashariki na kulizamisha magharibi..sasa mwambie Mungu wako ww alitoe magharibi na alizamishe mashariki
Unarudi kwa wakoloni tenaMungu yu hai kabla ya hata ya kuumbwa mwanadamu
Habari zenu
Hivi ulishawahi kukaa chini na kujiuliza kwanini amri ya kwanza ya Mungu kwenye Torati imekemea suala la Ushirikina kabla ya kukemea uuaji, uongo, ushoga, uzinzi ,wizi n.k??
Kwanini iwe ni suala la Ushirikina? Kwanini vilevile kitabu cha Quran kikaja tena kupigilia msumari ww Moto kwa kusema Mungu anasamehe dhambi zote ila Ushirikina ?
Rejea nami katika kitabu cha kutoka Sura ya 20:
1 Mungu akanena maneno haya yote akasema,
2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu
Ama ukirejea katika kitabu kitakatifu unakutana na amri hiyo hiyo katika Sura ya 17:23
"Na Mola wako mlezi ameamrisha msimuabudu yeyote ila YEYE tu"
Kama hiyo haitoshi ikaelezwa tena kuwa
Quran 31:13
"Na Luqman alipo mwambia mwanawe kwa kumpa mawaidha: Ewe mwanangu! Usimshirikishe Mwenyezi Mungu. Kwani hakika ushirikina bila ya shaka ni dhulma iliyo kubwa."
Kwanini Ushirikina iwe ndio dhambi kubwa?
Ngoja nitolee mfano wa kilimwengu ili twende sambamba
Kuna uzi humu Jamii Forum unaooleleza kuhusu mwanamke aliyependwa sana na Mumewe, akapewa kila kitu kuanzia chakula,gari, zawadi mbalimbali na pia watoto!! Kifupi mumewe alimpenda mnoo na wakaishi vizuri tu ila yule mwanamke akamsaliti mumewe kwa kutembea na mfanyakazi mwenzie wa ofisini, za mwizi ni arobaini,mumewe akajua...tokea hapo mumewe akaupoteza upendo wote aliokuwa nao.Wachangiaji wa mada wakasema kuwa huyo mwanamke ametenda kitendo kiovu na kibaya mno kwa mume aliyempenda sana na kumtendea kila aina ya wema ila yeye aliamua kumlipa malipo ya usaliti, wengine wakaenda mbali wakasema ni ngumu kwa huyo mwanaume kupona majeraha yake.Na kibaya zaidi yule mwanamke akasema kuwa upendo uliokuwepo slzamani wote uliisha.
Kwanini?
Jibu ni kuwa Mwanamke aliamua kumshirikisha mumewe ( ambaye ni mmiliki halali kwake) na mwanaume mwingine. Wanaadamu tuna wivu mkali sana na Mungu aliyetuumba ana wivu mkubwa zaidi yetu wanaadamu kiasi hataki kusikia kuwa mwanadamu amemshirikisha na kitu chochote kile.Yeye ndiye mmiliki halali wa viumbe vyote hapa duniani na mbinguni hivyo anaghadhibika na kuchukia mno pindi mwanadamu anapoabufu miungu mingine na kumuacha YEYE
Kutokana na hili Mungu akauandaa Moto mkali wa Jahannam kwa ajili ya wote ambao watakufa wakiwa hawajaitubia hii dhambi ya ushirikina.
Mungu ndiye mtoa Riziki kwa viumbe vyote ila mwanadamu anaona aende akaabudie mashetani kupitia waganga ili apate rizki anbayo inatoka kwa Mungu. Kitendo kama hiki ni mifano katika mifano mingi ya ushirikina, yaani kuamini kwamba kuna mungu/miungu mingine inayoweza kukupa riziki pamoja na MUNGU muumba ndio mfano wa ushirikina.
Ukiichukua haki ya MUNGU na kumpa kiumbe au kitu chochote kile hapo utakuww umetenda dhambi ya ushirikina . Fikiria kuwa ikiwa mwanadamu tu anachukia sana pindi akijua kuwa mkewe amemsaliti kwa mwanaume mwingine ,vp MUNGU akiona kuwa unaabudu mizimu ,majini na vinyamkera vingine pamoja NAYE? Hasira zake juu yako zikoje, wakati yeye ndiye aliyekuumba toka tumboni mwa mama yako, akajaalia ukazaliwa salama,akakujaalia macho,masikio n.k ambavyo huvilipii chochote na akakupa hewa na chakula bure, akakupa na uzao ila mwisho wa siku ukaona umlipe kwa Kumshirikisha YEYE na miungu mingine.Ukaona vyema ukasujudu kwenye miti mikubwa huko porini kuiomba mizimu ikujaalie ufanikiwe biashara zako, ukaona bora ukasujudie kaburi la babu yako umuombe akutatulie matatizo yako, ukaona bora ukachonge sanamu uwe unalisujudia na kuliomba usiku na mchana likufanyie wepesi mambo yako ,ukaona ni bora sifa ya uungu ukampe mwanadamu mwenzako aliyezaliwa na mwanamke kama wewe ili akupe uzima wa milele na ukamsahau MOLA WAKO MLEZI!!
Mfano wa mwisho wa Ushirikina ni huu.
Ni mfano wa tajiri mwenye biashara aliyeajiri wafanyakazi wengi kisha akawa anawalipa na kuwahudumia kila kitu ila jioni wale wafanyakazi wakishamaliza kuuza bidhaa za boss wao,mauzo yote wanakwenda kumpa mtu mwingine ambaye hata hausiani na ile kampuni tena wakidai yule mtu ndiye boss wao.
Hivi unadhani huyu tajiri ataghadhibika na kuchukia kiasi gani kww tendo hilo?
Ukishajua haya ndio utajua kwanini amri ya kwanza MUNGU amekemea kuhusu KUSHIRIKISHWA NA YEYOTE AU KITU VHOCHOTE KATIKA MAMLAKA YAKE.
Leo hii ikitokea Rais Ruto ikitokea akasema kuwa Kenya inatawala jiji la Dar-es-salaam .Pasi Rais Samiah atainua majeshi kupambana na Kenya .Why?! Mwanadamu huwa na wivu kwa kile anachokimiliki na Mungu nae ana wivu mkubwa kwa vile anavyovimiliki