Kwanini utajiri wa watu wa Nyanda za juu Kusini, huwa hauchechemui watu?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Nimejaribu kujiuliza ni kwanini mautajiri ya watu wa nyanda za juu kusini si utajiri unao sisimua au kuvutia watu wengi tofauti na ule utajiri wa watu kama bakhresa, mengi, ndesamburo, nadhani kinachochefua watu ni ile dhana ya mautajiri ya kichawi na siyo utajiri wa kisomi!
 
Matajiri wa nyanda za juu ni Wakinga kutoka Makete mkoa wa Njombe. Utajiri wao ni mateso tu. Wanaishi maisha duni kuliko mtu asiye na mali. Sasa huo utajiri wa masharti nani atautamani?

Pili kufika hapo lazima utor kafara ya kuua mtu wako wa karibu hasa mama yako, mdogo wako. Halafu mali haihamii kizazi cha pili. Tajiri mkinga akifa na mali inakufa.

Unakuta tajiri ana gorofa lakini yeye analala kwenye stoo ya mizigo. Au anavaa malapa. Mara nyingine unakuta kuna chumba anaingia peke yake hata mkewe na watoto hawaruhusiwi. Ukifosi kuingia unakutana na mama yake kamfanya msukule.

Achana na wakinga, hawana utajiri wowote zaidi ya mateso
 
Maadamu tunapata Kodi kupitia utajiri wao hata wakitoana kafara hasara kwao
 
Matajiri wa nyanda za juu ni Wakinga kutoka Makete mkoa wa Njombe. Utajiri wao ni mateso tu. Wanaishi maisha duni kuliko mtu asiye na mali. Sasa huo utajiri wa masharti nani atautamani?

Pili kufika hapo lazima utor kafara ya kuua mtu wako wa karibu hasa mama yako, mdogo wako. Halafu mali haihamii kizazi cha pili. Tajiri mkinga akifa na mali inakufa.

Unakuta tajiri ana gorofa lakini yeye analala kwenye stoo ya mizigo. Au anavaa malapa. Mara nyingine unakuta kuna chumba anaingia peke yake hata mkewe na watoto hawaruhusiwi. Ukifosi kuingia unakutana na mama yake kamfanya msukule.

Achana na wakinga, hawana utajiri wowote zaidi ya mateso
Haya yote umeambiwa, umesimuliwa na hujawahi kuona kwa macho yako.
Umri mkubwa lakini uwezo wa kufikiri ni mdogo.

Nyie ndio mnatapeliwa na waganga wa kienyeji, hakuna pesa zinapatikana hivyo hizo ni stori za kutengeneza ili kufurahisha genge na kujipa moyo.
 
YESU ATUSAIDIE TUSIJITOE NAFSI ZETU KWA MASHETANI

MALI ZA SHETANI LAZIMA UTALIPA TU UTATOA KAFARA ZOTE ILA KUNA KIPINDI TU WATAKUHITAJI NA WEWE MTOA KAFARA.

NI KWELI HALI NI NGUMU LAKINI KUUZA ROHO YAKO KWA MASHETANI NI ZAIDI YA HIYO HALI NGUMU UNAYOPITIA
 
Wengi wana utajiri wa punje, wanamiliki pesa ndefu ila wanajua hawatovuka miaka 50! Na wakifa mali zao zinakufa ndio maana wanasahaulika haraka!
Haya yote umeambiwa, umesimuliwa na hujawahi kuona kwa macho yako.
Umri mkubwa lakini uwezo wa kufikiri ni mdogo.

Nyie ndio mnatapeliwa na waganga wa kienyeji, hakuna pesa zinapatikana hivyo hizo ni stori za kutengeneza ili kufurahisha genge na kujipa moyo.
 
Nimejaribu kujiuliza ni kwanini mautajiri ya watu wa nyanda za juu kusini si utajiri unao sisimua au kuvutia watu wengi tofauti na ule utajiri wa watu kama bakhresa, mengi, ndesamburo, nadhani kinachochefua watu ni ile dhana ya mautajiri ya kichawi na siyo utajiri wa kisomi!
Haya yote umeambiwa, umesimuliwa na hujawahi kuona kwa macho yako.
Umri mkubwa lakini uwezo wa kufikiri ni mdogo.

Nyie ndio mnatapeliwa na waganga wa kienyeji, hakuna pesa zinapatikana hivyo hizo ni stori za kutengeneza ili kufurahisha genge na kujipa moyo.
 
Tajiri gani analala sakafuni,anavaa sendoz,anakula kwa mama ntilie..
Haya yote umeambiwa, umesimuliwa na hujawahi kuona kwa macho yako.
Umri mkubwa lakini uwezo wa kufikiri ni mdogo.

Nyie ndio mnatapeliwa na waganga wa kienyeji, hakuna pesa zinapatikana hivyo hizo ni stori za kutengeneza ili kufurahisha genge na kujipa moyo.
 
Matajiri wa nyanda za juu ni Wakinga kutoka Makete mkoa wa Njombe. Utajiri wao ni mateso tu. Wanaishi maisha duni kuliko mtu asiye na mali. Sasa huo utajiri wa masharti nani atautamani?

Pili kufika hapo lazima utor kafara ya kuua mtu wako wa karibu hasa mama yako, mdogo wako. Halafu mali haihamii kizazi cha pili. Tajiri mkinga akifa na mali inakufa.

Unakuta tajiri ana gorofa lakini yeye analala kwenye stoo ya mizigo. Au anavaa malapa. Mara nyingine unakuta kuna chumba anaingia peke yake hata mkewe na watoto hawaruhusiwi. Ukifosi kuingia unakutana na mama yake kamfanya msukule.

Achana na wakinga, hawana utajiri wowote zaidi ya mateso
Wakinga wana discipline ya matumizi ya pesa usidanganywe na story za mitaani. Wakinga wanachapa kazi sana. Kama pesa zao zinapatikana kwa ushirikina basi Makete nzima wangekuwa matajiri.
 
Haya yote umeambiwa, umesimuliwa na hujawahi kuona kwa macho yako.
Umri mkubwa lakini uwezo wa kufikiri ni mdogo.

Nyie ndio mnatapeliwa na waganga wa kienyeji, hakuna pesa zinapatikana hivyo hizo ni stori za kutengeneza ili kufurahisha genge na kujipa moyo.
Njoo Tunduma nikuonyeshe .....

#YNWA
 
Wewe ulisikia wapi nani atamani utajiri wa kuku Kurushiwa MAHINDI na kula punje 8 nani atamani? Huo utajiri wa hao watu kutoka huko nyanda za juu kusini ni mateso makali yenye kilio R.I.P SAULI
Kwa hiyo accident mnaihusisha na ushirikina wa kutafuta utajiri? Imetokea kama accident zingine tu haya mengine ni maneno
 
Back
Top Bottom