Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa na wewe ni mmoja wapo. Kazi kuchapa wanachapa makabila mengi tu ila nyinyi mumeongeza na uchawi wa makafara. Sasa kama nyinyi ni matajiri kwanini hamuishi maisha ya starehe kama Wachagga?? Wachagga wwnapiga kazi, wanatunza hela lakini kwenye matumizi bado ndiyo kabila linaongoza kula bata.Wakinga wana discipline ya matumizi ya pesa usidanganywe na story za mitaani. Wakinga wanachapa kazi sana. Kama pesa zao zinapatikana kwa ushirikina basi Makete nzima wangekuwa matajiri.
Miti kuanzia kupanda hadi kuja kuvuna ni miaka mingapi? Mbona mnaongea kama headless chicken nyie??Miti inawatoa sana wakinga ila watu wanasema ni wachawi
Mimi nafuu kufa maskini kuliko kuishi na utajiri wa mateso. Na ukishasoma post hii mpelekee dona huyo ndugu yako uliyemuweka kwenye chumba cha gizaAkili za watu wenye kipaji cha ufukara ndo hizi.Utakufa ukiwa maskini wa kutupwa.
Unatunza pesa miaka 15 ili uzipeleke wapi? Mbona wakifa hatuoni hata vizazi vyao vikiendelea na utajiri huo?Kwa zaidi ya miaka 15 niliyoishi na kufanya shughuli zangu mikoa ya nyanda za juu kusini nakubaliana na wewe kabisa. Matajiri wengi ninaowafamu binafsi (wengine ni marafiki zangu) wana nidhamu kubwa sana ya pesa, hakuna hata senti moja yao inayochezewa. Hawa ni watu waliokuwa hawana kitu 15 years ago, sasa hivi wako mbali sana, siri kubwa ni nidhamu ya pesa na kujituma. Hayo ya pesa za punje za mahindi ni blabla za kujifariji tu.
Kwani miti imeanza kupandwa Leo hii?Miti kuanzia kupanda hadi kuja kuvuna ni miaka mingapi? Mbona mnaongea kama headless chicken nyie??
Hii dhana ya utajiri wa kichawi ni dhana duni sana mkuu.
Siruhusiwi kwenda na kuku wangu mwenye njaa kali, atafune punje nyingi?Wewe ulisikia wapi nani atamani utajiri wa kuku Kurushiwa MAHINDI na kula punje 8 nani atamani? Huo utajiri wa hao watu kutoka huko nyanda za juu kusini ni mateso makali yenye kilio R.I.P SAULI
🤣🤣🤣 mimi sijui ngoja nichape kazi tuNgoja ni vuruge kidogo😂
Tukisema utajiri kumaanisha ule Utajiri kweli . Unawezeshwa na kingdom mbili ya Nuru au Giza. Kubali ila uki kataa ni sababu huna au hujafika.
Upande wa Giza unakupa kweli kabisa achana na Hawa waganga matapeli shety anatoa kweli. Kama messiah tu aliambiwa asujudu tu Aachiwe Maisha why not kwako? 😂😂😂
Na upande wa Nuru ni kwamba ni Baraka zinazoanza kwa juhudi zako na kulipa gharama zake pia. Hapo ni wewe ndiyo unaanza hiyo safari na kuweka mazingira ila matokeo yatakuja kwa kizazi chako hata Cha Tano au sita huko, lakini wakiwa na mindset kama yako.😂😂
HIVI NDO ILIVYO
Vinginevyo ni labda kama unataka vipesa na Hela tu sio Utajiri. Utapataje mi Sijui.
ya!! sure!!! mautajiri ya kiuchawi yapo huko!!!!!,,haiwezekani unamiliki fuso 80 alaf unavaa yeboyebo na boxer zilizotoboka@@@@@Nimejaribu kujiuliza ni kwanini mautajiri ya watu wa nyanda za juu kusini si utajiri unao sisimua au kuvutia watu wengi tofauti na ule utajiri wa watu kama bakhresa, mengi, ndesamburo, nadhani kinachochefua watu ni ile dhana ya mautajiri ya kichawi na siyo utajiri wa kisomi!
Maskini tuna stress sana, km ingekuwa pesa rahisi hivyo basi watanzania wote tungemiliki pesa sidhani km kuna mtu anayependa kuteseka na maisha magumu.!!Wengi hawamfahamu Sauli nimeshangaa kuona baadhi wanamuhusisha na utajiri wa kishirikina
Jamaa alipambana sana kwenye madini huko Chunya
Na bado kuna kiongozi mkubwa alishawahi kumfamyia umafia ila mwamba akaendelea kupambana
Kwa hiyo usi generalise kuwa miti ndiyo inawatajirisha kufika hapo walipofika, ndiyo maana kuna wengine wakafeli. Angalizo tu.Kwani miti imeanza kupandwa Leo hii?
Binafsi nawajua jamaa zangu ambao waliachiwa urithi wa miti na wazazi wao walipata pesa lakini wakachezea wapo vijana wengine walipata pesa wameingia kwenye biashara kwa sasa wapo mbali
Chapa kazi Captain 🫡🤣🤣🤣 mimi sijui ngoja nichape kazi tu
Nakubaliana naweMaskini tuna stress sana, km ingekuwa pesa rahisi hivyo basi watanzania wote tungemiliki pesa sidhani km kuna mtu anayependa kuteseka na maisha magumu.!!
Nafahamu na hadi ilipo ofisi yakeKulikuwa na Mwakipande Baba lakini alikufa kwenye miaka ya 2010. Kamrithisha mwanaye. Waulize wakinga watakupeleka ila uwe tayari kwa masharti
🤣🤣🤣🤣 we jamaa utakuwa mmoja wa waliokiuka masharti.Lazima utetee wewe mwenyewe mama yako yuko umemfungia chumbani anaachama mdomo tu. Halafu unashinda dukani kuanzia asbuhi mpaka jioni unakula chakula ulichopika jana na asubuhi umebeba kwenye ma hot pot.
Ukiulizwa kwa nini unakula kipolo, unasema kubana matumizi ya kula hoteli!! Serious?? Sasa una ghrofq Kariakoo huwezi kula chakula hotelini , unatafuta hela za kazi gani??