Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Matajiri wa nyanda za juu ni Wakinga kutoka Makete mkoa wa Njombe. Utajiri wao ni mateso tu. Wanaishi maisha duni kuliko mtu asiye na mali. Sasa huo utajiri wa masharti nani atautamani?Nimejaribu kujiuliza ni kwanini mautajiri ya watu wa nyanda za juu kusini si utajiri unao sisimua au kuvutia watu wengi tofauti na ule utajiri wa watu kama bakhresa, mengi, ndesamburo, nadhani kinachochefua watu ni ile dhana ya mautajiri ya kichawi na siyo utajiri wa kisomi!
Maadamu tunapata Kodi kupitia utajiri wao hata wakitoana kafara hasara kwaoMatajiri wa nyanda za juu ni Wakinga kutoka Makete mkoa wa Njombe. Utajiri wao ni mateso tu. Wanaishi maisha duni kuliko mtu asiye na mali. Sasa huo utajiri wa masharti nani atautamani?
Pili kufika hapo lazima utor kafara ya kuua mtu wako wa karibu hasa mama yako, mdogo wako. Halafu mali haihamii kizazi cha pili. Tajiri mkinga akifa na mali inakufa.
Unakuta tajiri ana gorofa lakini yeye analala kwenye stoo ya mizigo. Au anavaa malapa. Mara nyingine unakuta kuna chumba anaingia peke yake hata mkewe na watoto hawaruhusiwi. Ukifosi kuingia unakutana na mama yake kamfanya msukule.
Achana na wakinga, hawana utajiri wowote zaidi ya mateso
Haya yote umeambiwa, umesimuliwa na hujawahi kuona kwa macho yako.Matajiri wa nyanda za juu ni Wakinga kutoka Makete mkoa wa Njombe. Utajiri wao ni mateso tu. Wanaishi maisha duni kuliko mtu asiye na mali. Sasa huo utajiri wa masharti nani atautamani?
Pili kufika hapo lazima utor kafara ya kuua mtu wako wa karibu hasa mama yako, mdogo wako. Halafu mali haihamii kizazi cha pili. Tajiri mkinga akifa na mali inakufa.
Unakuta tajiri ana gorofa lakini yeye analala kwenye stoo ya mizigo. Au anavaa malapa. Mara nyingine unakuta kuna chumba anaingia peke yake hata mkewe na watoto hawaruhusiwi. Ukifosi kuingia unakutana na mama yake kamfanya msukule.
Achana na wakinga, hawana utajiri wowote zaidi ya mateso
Hahaaaaaa kuna mmoja yupo Iringa yeye anavaa maviatu yaliyopinda. Huvaa koti la baridi moja toka nimjue 2016.Tajiri gani analala sakafuni,anavaa sendoz,anakula kwa mama ntilie..
Haya yote umeambiwa, umesimuliwa na hujawahi kuona kwa macho yako.Wengi wana utajiri wa punje, wanamiliki pesa ndefu ila wanajua hawatovuka miaka 50! Na wakifa mali zao zinakufa ndio maana wanasahaulika haraka!
Haya yote umeambiwa, umesimuliwa na hujawahi kuona kwa macho yako.Nimejaribu kujiuliza ni kwanini mautajiri ya watu wa nyanda za juu kusini si utajiri unao sisimua au kuvutia watu wengi tofauti na ule utajiri wa watu kama bakhresa, mengi, ndesamburo, nadhani kinachochefua watu ni ile dhana ya mautajiri ya kichawi na siyo utajiri wa kisomi!
Haya yote umeambiwa, umesimuliwa na hujawahi kuona kwa macho yako.Tajiri gani analala sakafuni,anavaa sendoz,anakula kwa mama ntilie..
Hawezi kukuonyesha kwasababu ameamini stori za kusimuliwa nayeye anasimulia.Nionyeshe huyo mganga NAMI nimikiki Jeep na vxr
Wakinga wana discipline ya matumizi ya pesa usidanganywe na story za mitaani. Wakinga wanachapa kazi sana. Kama pesa zao zinapatikana kwa ushirikina basi Makete nzima wangekuwa matajiri.Matajiri wa nyanda za juu ni Wakinga kutoka Makete mkoa wa Njombe. Utajiri wao ni mateso tu. Wanaishi maisha duni kuliko mtu asiye na mali. Sasa huo utajiri wa masharti nani atautamani?
Pili kufika hapo lazima utor kafara ya kuua mtu wako wa karibu hasa mama yako, mdogo wako. Halafu mali haihamii kizazi cha pili. Tajiri mkinga akifa na mali inakufa.
Unakuta tajiri ana gorofa lakini yeye analala kwenye stoo ya mizigo. Au anavaa malapa. Mara nyingine unakuta kuna chumba anaingia peke yake hata mkewe na watoto hawaruhusiwi. Ukifosi kuingia unakutana na mama yake kamfanya msukule.
Achana na wakinga, hawana utajiri wowote zaidi ya mateso
Amefariki na 40 yrs aiseeWewe ulisikia wapi nani atamani utajiri wa kuku Kurushiwa MAHINDI na kula punje 8 nani atamani? Huo utajiri wa hao watu kutoka huko nyanda za juu kusini ni mateso makali yenye kilio R.I.P SAULI
Njoo Tunduma nikuonyeshe .....Haya yote umeambiwa, umesimuliwa na hujawahi kuona kwa macho yako.
Umri mkubwa lakini uwezo wa kufikiri ni mdogo.
Nyie ndio mnatapeliwa na waganga wa kienyeji, hakuna pesa zinapatikana hivyo hizo ni stori za kutengeneza ili kufurahisha genge na kujipa moyo.
Ratiba yako leo Mbeya inasemaje?😀😃Njoo Tunduma nikuonyeshe .....
#YNWA
Kwa hiyo accident mnaihusisha na ushirikina wa kutafuta utajiri? Imetokea kama accident zingine tu haya mengine ni manenoWewe ulisikia wapi nani atamani utajiri wa kuku Kurushiwa MAHINDI na kula punje 8 nani atamani? Huo utajiri wa hao watu kutoka huko nyanda za juu kusini ni mateso makali yenye kilio R.I.P SAULI
Mganga huyo yupo hapa JF naye ni min -meNionyeshe huyo mganga NAMI nimikiki Jeep na vxr