Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka kwa mshauri wa mambo ya kipumbavu, anasa, na starehe.Sikiliza togolani[emoji1]
Sana tu Mkuu..kuwa na ufaulu mdogo kunahusiana nini..maisha aliyopitia ni elimu tosha ya kumuwezesha kufanya kazi yake..kimsingi haendi kufanya kila kitu yeye kuna wasaidizi wake ambao ni wataalamu.
Kweli kabisaSana tu Mkuu..kuwa na ufaulu mdogo kunahusiana nini..maisha aliyopitia ni elimu tosha ya kumuwezesha kufanya kazi yake..kimsingi haendi kufanya kila kitu yeye kuna wasaidizi wake ambao ni wataalamu.
Zile itifaki zingine za kibalozi unafundishwa na chuo cha Diplomasia kabla ya kwenda kwenye kituo cha kazi.
Simjui kabisa hivyo sina pa kuanzia kupasuka roho. Unashindwa kuunganisha mambo, kwanini hawa wazue mjadla, ina maana kuna kitu hakiko swa. Uwe na akili za udadisiWatu kama wewe Lazima mpasuke Roho
google au Muulize Lisu ameongele sana hiyo kitu maana yake na athali zake kwa uongozi wa nchiNaomba utafsiri maana ya imperial president.
sisemi hawataweza , swali kwanini wamezua mjadala? Kuna kasoro... ndio maana wamezua mjadalaHawaendi kubeba zege au kutindua lami na sululu...wataweza tu.
Mbowe alilazimishwa na waasisi kma ulimsikiliza and this has never been controvertedKwani Mbowe hakupewa uenyekiti wa Chadema kwa sababu ya uhusiano wake na mzee Edwin?
Kwanini hawakumlazimisha Zitto Kabwe?Mbowe alilazimishwa na waasisi kma ulimsikiliza and this has never been controverted
Yes ni msomi na .mtumishi mwandamizi wizara ya mambo ya nje .ana stahili kabisa.Sawa ni humble, Merits za kuchagulwa? humbleness?
He was very junior and new in Chadema. Mbowe alimpa hata gari ya kufanyia kampeni, he had nothing in all aspects.... kama ulimsikiliza katika kipindi cha talk with Lisu?? (nimesahu kwa usahihi kinaitwaje) alisema hata hiyo gari haikurudishwa mpaka leo walivyokuwa marafiki wazuri. Hivyo hakuwa na sifa za kuwa MwenyekitiKwanini hawakumlazimisha Zitto Kabwe?
Aisee umegusa penyewe. MAGUFULI aliendekeza ukabila kupitiliza. Mwisho wao umefika sasa ni zamu ya maendeleo na sehemu zingine nchi kubwa hii.Waswahili wanasema usipende kumfanyia binadamu mwenzako kitu usichopenda kufanyiwa. Enzi za mfalme herode ndio alionyesha ukabila dhahiri. Sekta nyingi kule juu juu utakuta wasukuma au watu wa kanda ya ziwa aliwabagua sana watu wa kanda nyingine. Ilikua hata ukipata kazi serikalini kama Kuna position ya juu boss wako lazima atamteua msukuma awe kiongozi kwa kujipendekeza kwa bwana herode. Alafu mkae mkijua chama kinawenyewe mfalme herode alipewa lift tu akawa anapiga na honi. Kwasasa wenye chama na wenye nchi yao wamerudi sasa mnaanza kupiga kelele hata miezi sita haijaisha, Bado sana mtapiga kelele mpaka makoo yakauke. Na Lile limekua ni funzo sizani kama watakuja kujichanganya kama ilivyotokea 2015.
Mimi simjui ndiyo namsikia, ndiyo maana nikajiuliza kwanini anajadiliwa? Nikasearch ndiyo nikapata hicho nilichokindika. Sisemi hawezi, no! Kwa mdadisi utajiuliza kwanini anajadiliwa na Hoyce temu. Hoyce it might be Ok kwa vle ametoka kwenye u-miss ambao mimi nauterm kama approved umalaya..... wa kuonyesha mapaja mbele za watu.. watu lazima washituke uteuzi wakeYes ni msomi na .mtumishi mwandamizi wizara ya mambo ya nje .ana stahili kabisa.
Ngoja nikuombee nafasi ya waiters pale Aishi Hotel machame maana naona kila teuzi zikitoka jina lako linapigwa chini.Kwani Mbowe hakupewa uenyekiti wa Chadema kwa sababu ya uhusiano wake na mzee Edwin?
Mavula:
Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?
Nimejiuliza why particularly Togolani Mavula anatokea kwenye thread heading, likewise Hoyce Temu kumbe ni hivi: Huyu Togolani Mavila ana historia ya kuwa na ukaribu na Ombeni Sifue aliyekuwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais Kikwete ambao wote ni wapare hivyo alimpa ka pendeleo fulani maana had no sifa sitahiki. soma chini
[/HEADING]
[HEADING=3]NgongoJF-Expert Member
Huyu Mavura ni Mpare uteuzi wake umewezekana kwasababu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpare mwenzake ebo au unajifanya hujui ukabila upo kila mahali.
Haki sawa said:
Yuko fit kwa lipi acheni uongo wenu, huyu Alimasi za UDSM bachelor yake ya PS& PA mwaka 2005 , alipata GPA ya 2.3 , huo ndio ufit? ALipewa kazi wizarani kwa kuwa baba yake Mzazi alikuwa BALOZI wa Tanzania , so alone bwana baba , sasa naona Jk kaamua kumbeba naye huyu, hana hata taaluma ya uandishi wa habari.......do I say more? Alivyokuwa Udsm akiishi Mabino hostel .........
SOMA WASIFU WAKE KWENYE THREAD HII Togolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa JK - Hotuba
2. Hoyce Temu sijui