- Thread starter
- #61
Ishu siyo kula tunasema mbona hawa wamejadiliwa sanaWivu tu connection muhimu sana hapa dunian mwache apige kelele wenzako wanakula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu siyo kula tunasema mbona hawa wamejadiliwa sanaWivu tu connection muhimu sana hapa dunian mwache apige kelele wenzako wanakula
Ubalozi una Kazi gani ngumu zaidi ya kuuza tu sura nje wacha tu apeweMavula:
Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?
Nimejiuliza why particularly Togolani Mavula anatokea kwenye thread heading, likewise Hoyce Temu kumbe ni hivi: Huyu Togolani Mavila ana historia ya kuwa na ukaribu na Ombeni Sifue aliyekuwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais Kikwete ambao wote ni wapare hivyo alimpa ka pendeleo fulani maana had no sifa sitahiki. soma chini
[/HEADING][/HEADING]
[HEADING=3][HEADING=3]NgongoJF-Expert Member
Huyu Mavura ni Mpare uteuzi wake umewezekana kwasababu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpare mwenzake ebo au unajifanya hujui ukabila upo kila mahali.
Haki sawa said:
Yuko fit kwa lipi acheni uongo wenu, huyu Alimasi za UDSM bachelor yake ya PS& PA mwaka 2005 , alipata GPA ya 2.3 , huo ndio ufit? ALipewa kazi wizarani kwa kuwa baba yake Mzazi alikuwa BALOZI wa Tanzania , so alone bwana baba , sasa naona Jk kaamua kumbeba naye huyu, hana hata taaluma ya uandishi wa habari.......do I say more? Alivyokuwa Udsm akiishi Mabino hostel .........
SOMA WASIFU WAKE KWENYE THREAD HII Togolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa JK - Hotuba
2. Hoyce Temu sijui
Mavula:

[/HEADING][/HEADING][/HEADING]
[HEADING=3][HEADING=3][HEADING=3]NgongoJF-Expert Member
Huyu Mavura ni Mpare uteuzi wake umewezekana kwasababu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpare mwenzake ebo au unajifanya hujui ukabila upo kila mahali.
Haki sawa said:
Yuko fit kwa lipi acheni uongo wenu, huyu Alimasi za UDSM bachelor yake ya PS& PA mwaka 2005 , alipata GPA ya 2.3 , huo ndio ufit? ALipewa kazi wizarani kwa kuwa baba yake Mzazi alikuwa BALOZI wa Tanzania , so alone bwana baba , sasa naona Jk kaamua kumbeba naye huyu, hana hata taaluma ya uandishi wa habari.......do I say more? Alivyokuwa Udsm akiishi Mabino hostel .........
SOMA WASIFU WAKE KWENYE THREAD HII Togolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa JK - Hotuba
Kwasababu Watanzania ni watu wanaopenda kutengeneza stories bila facts na soko la umbea na uzushi linauza.Mavula:
Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?
Nimejiuliza why particularly Togolani Mavula anatokea kwenye thread heading, likewise Hoyce Temu kumbe ni hivi: Huyu Togolani Mavila ana historia ya kuwa na ukaribu na Ombeni Sifue aliyekuwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais Kikwete ambao wote ni wapare hivyo alimpa ka pendeleo fulani maana had no sifa sitahiki. soma chini
[/HEADING][/HEADING]
[HEADING=3][HEADING=3]NgongoJF-Expert Member
Huyu Mavura ni Mpare uteuzi wake umewezekana kwasababu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpare mwenzake ebo au unajifanya hujui ukabila upo kila mahali.
Haki sawa said:
Yuko fit kwa lipi acheni uongo wenu, huyu Alimasi za UDSM bachelor yake ya PS& PA mwaka 2005 , alipata GPA ya 2.3 , huo ndio ufit? ALipewa kazi wizarani kwa kuwa baba yake Mzazi alikuwa BALOZI wa Tanzania , so alone bwana baba , sasa naona Jk kaamua kumbeba naye huyu, hana hata taaluma ya uandishi wa habari.......do I say more? Alivyokuwa Udsm akiishi Mabino hostel .........
SOMA WASIFU WAKE KWENYE THREAD HII Togolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa JK - Hotuba
2. Hoyce Temu sijui
Ndo wivu wenyewe huo mtu anahoji mpaka GPA ya mtu anataka niniIshu siyo kula tunasema mbona hawa wamejadiliwa sana
Jiwe Alipochaguliwa Alikaa Bila Baraza La MawaziriMtu akiwa karibu na JK anakuwa hafai?
Wakijifanya kazi under JK wote hawafai?
Alipewa lift au walitaka kukiokoa chama.2015 CCM ilikuwa ICU na ingekuwa imeshazikwa na tumesahau kama KANU.Waswahili wanasema usipende kumfanyia binadamu mwenzako kitu usichopenda kufanyiwa. Enzi za mfalme herode ndio alionyesha ukabila dhahiri. Sekta nyingi kule juu juu utakuta wasukuma au watu wa kanda ya ziwa aliwabagua sana watu wa kanda nyingine. Ilikua hata ukipata kazi serikalini kama Kuna position ya juu boss wako lazima atamteua msukuma awe kiongozi kwa kujipendekeza kwa bwana herode. Alafu mkae mkijua chama kinawenyewe mfalme herode alipewa lift tu akawa anapiga na honi. Kwasasa wenye chama na wenye nchi yao wamerudi sasa mnaanza kupiga kelele hata miezi sita haijaisha, Bado sana mtapiga kelele mpaka makoo yakauke. Na Lile limekua ni funzo sizani kama watakuja kujichanganya kama ilivyotokea 2015.
Kuna sababu nzuri watu wanahoji maana amechukuliwa tok kwa Kiwete, wanauliza kulikoniNdo wivu wenyewe huo mtu anahoji mpaka GPA ya mtu anataka nini
Viongozi wangapi wana hizo GPA ? Na kila siku wanatuongeza
Nini cha ajabu wakichukuliwa kutoka kwa Kikwete? Kikwete ni mtanzania nani raisi mtaafu. Hata waziri Mulamula, Simbachawene, mama Samia ni zao la Kikwete.Kuna sababu nzuri watu wanahoji maana amechukuliwa tok kwa Kiwete, wanauliza kulikoni
Unadhni kwanini ame raise alarm?Nini cha ajabu wakichukuliwa kutoka kwa Kikwete? Kikwete ni mtanzania nani raisi mtaafu. Hata waziri Mulamula, Simbachawene, mama Samia ni zao la Kikwete.
Mwaga facts tuluelewe. Hizi hear saying maranyingi huwa ni ingredients za majungu.Unadhni kwanini ame raise alarm?
Wivu tuu kumjua mtu na unaona ana fursa basi unataka kuandika andika ili kumchafua mtu yaani graduate wa chuo hutaki apate kazi? Roho mbaya haikusaidii chochote na haitokuja kukusaidia karma yake inarudi kwako...Nimeandika udadisi wangu kwanini ametokea kwenye "font fedi" ya thread? Nikapata jibu na nikawahabarisha wengine kama wewe... is that wrong?
sijibizani na darasa la saba kama wewe, bye!Wivu tuu kumjua mtu na unaona ana fursa basi unataka kuandika andika ili kumchafua mtu yaani graduate wa chuo hutaki apate kazi? Roho mbaya haikusaidii chochote na haitokuja kukusaidia karma yake inarudi kwako...