Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?

Tunataka tuone jukwaa letu linakuja na mada zenye changamoto za kimaendeleo ya nchi yetu!hiki ninachokiona ni matumizi mabaya ya ubongo!!!Mleta mada jitafakari!!!
 
wivu ni tatizo kubwa mnoooo
wivu ukikomaa unafunga ndoa na chukii
baadae wanazaa mtoto anaitwa umautiii
watanzania tufanye kazi kwa bidii na maarifa huku tukiamini Mungu ndo mpaji wa yoote
 
Sasa wewe unaleta mambo ya dini ambayo hayana ushahidi kama yako. Talk of real world without God involvement. If God does not exist How does he play part here, talk of the real world not a imaginary world guided by so called God
 
sisemi hawataweza , swali kwanini wamezua mjadala? Kuna kasoro... ndio maana wamezua mjadala

Basi tu ,watu walizoea balozi lazima atoke jeshini au Kada mtiifu wa CCM.

Hao wote ni wasomi.....Hoyce nadhani amesomea kabisa Diplomasia ,Hata Basila Mwanukuzi naye alisomea Udiplomasia.
 
Achana na GPA....
Kuna GPA zingine ni kubwa ila chafu.
 
Achana na GPA....
Kuna GPA zingine ni kubwa ila chafu.
za kuiba mitihani, kupewa majibu etc ... but this is our grading system, the more your GPA looks higher, the more you highlyranked/valued regardless how you got it!
 

Nchi hii kila kitu kinaangaliwa kama fursa. Ila siasa ndio fursa namba moja. Ukijiingiza utaambiwa kwamba hata sio raia au gaidi. Siasa zina fitna sana
 
Ngoja yarudi magazeti yale akina Mawio,,Mseto na Mwanahalisi ndiyo watatuchambulia mpaka walikozaliwa
 
Uhakika Mungu yupo ni pale wanaomgusa moyo wake anawainua na watu kama wewe mnaingiwa wivu na husda
Sasa wewe unaleta mambo ya dini ambayo hayana ushahidi kama yako. Talk of real world without God involvement. If God does not exist How does he play part here, talk of the real world not a imaginary world guided by so called God
 
Mimi simjui lakini acha ale shavu kuliko mjitu kutoka ziwani iliyopendekewa !!! Mfano bashite na "bwashiru"
 
Aisee umegusa penyewe. MAGUFULI aliendekeza ukabila kupitiliza. Mwisho wao umefika sasa ni zamu ya maendeleo na sehemu zingine nchi kubwa hii.
Katika maisha yangu sitasahau tar 17/3 nilifurahi na kunywa wani sana !!!
 
Wivu tu connection muhimu sana hapa dunian mwache apige kelele wenzako wanakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…