Kwanini Utumbo utupwe? Wakati wenzenu tunalia ndizi?

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Utumbo usitupwe. Sisi tunalia ndizi. Ni kitu kitamu sana. Na hilo nadhani wengi hamjajua. Naomba sana Serikali sikivu izingatie suala la kuhakikisha utumbo hautupwi na unatumika kwa sisi wapwani.

Tunapenda sana kulia ndizi utumbo.
 
Utumbo unatunza uchafu na wadudu wa maradhi.
 
Una maanisha mavi kuwa kichuri cha ndizi ila sio utumbo .
 
Back
Top Bottom