Utumbo usitupwe. Sisi tunalia ndizi. Ni kitu kitamu sana. Na hilo nadhani wengi hamjajua. Naomba sana Serikali sikivu izingatie suala la kuhakikisha utumbo hautupwi na unatumika kwa sisi wapwani.