Kwanini utumie x badala ya s?

Kwanini utumie x badala ya s?

bestest

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
67
Reaction score
8
kwanini umtumie x badala ya s, mtu anaandika xaxa akimaanisha sasa.

s badala ya th, eti nimeasirika badala ya nimeathirika.

jamani tutumie herufi sahihi, mnaboa
 
kwanini umtumie x badala ya s, mtu anaandika xaxa akimaanisha sasa.

s badala ya th, eti nimeasirika badala ya nimeathirika.

jamani tutumie herufi sahihi, mnaboa

Bora wao, kuliko wewe unaejifanya unajua kumbe hujui. Badala ya heruei kubwa mwanzo wa sentesi wewe umeweka ndogo.. Ama kweli nyani hacheki kundule lake.
 
kwanini umtumie x badala ya s, mtu anaandika xaxa akimaanisha sasa.

s badala ya th, eti nimeasirika badala ya nimeathirika.

jamani tutumie herufi sahihi, mnaboa

Kabisa huwa sijibu ujumbe niliotumiwa kwa kuandikwa kwa mtindo huo wa kijinga kabisa kuwahi kutokea.
Na ukitaka nikudharau Niandikie ujumbe kwa mtindo huo wa 'x' badala ya 's'.
Ova
 
Wananiudhi! Mi mtu akinitumia SMS yenye xaxa, xawa na kadhalika sijibu!
 
Kabisa huwa sijibu ujumbe niliotumiwa kwa kuandikwa kwa mtindo huo wa kijinga kabisa kuwahi kutokea.
Na ukitaka nikudharau Niandikie ujumbe kwa mtindo huo wa 'x' badala ya 's'.
Ova

Kitoto kimoja nimekitongoza juzi tena kizuri nikawa najua nimepata mchepuko wa maana alivyo anza kuniandikia huo upuuzi wa xaxa sijui nini, nikapiga chini hapo hapo yaaani sijajibu msg hata moja na simu nimeblock kabisa
 
kwanini umtumie x badala ya s, mtu anaandika xaxa akimaanisha sasa.

s badala ya th, eti nimeasirika badala ya nimeathirika.

jamani tutumie herufi sahihi, mnaboa

Hawa watu wanaboa kinoma mkuu, yaan utakuta kuna neno lipo vizur tu lakin wanalivuruga na kutengeneza neno tofaut kabisa ambalo huenda likawa na maana nyingine kabisa, ukiwauliza wengine watakuambia eti swaga! Swaga gani za kishamba hizoo!!
 
kwanini umtumie x badala ya s, mtu anaandika xaxa akimaanisha sasa.

s badala ya th, eti nimeasirika badala ya nimeathirika.

jamani tutumie herufi sahihi, mnaboa

Nikajua ni mimi tu ninae boreka na huu uandishi
...shenzi zao
 
Mwanzo nilifikiri malengo ni kuokoa muda...kumbe hata sio. Labda ni uandishi tu uliongia mjini kama kuvaa suruali nusu nanihii....
 
Hizo herufi zao zimenifanya nisimtumie binamu yangu hela ya mahafali,
eti kaandika
"xaxa kaka utanitumia lini hela ya mahafali"?
 
Mkuu kwa upande wangu nahisi ni tabia ya kuishi kwa mazoea na kutokujiamini katika jamii, kwasababu vijana wengi wanadhan ataonekana mjinga endapo atakuwa kinyume na kila badiliko litokealo katika jamii. Na wengi wanaotumia herufi hizi zisizofaa ni wavivu wa kufikiria , na sivyo wanavojiita wabunifu pia wanaokoa mda.
 
kwanini umtumie x badala ya s, mtu anaandika xaxa akimaanisha sasa.

s badala ya th, eti nimeasirika badala ya nimeathirika.

jamani tutumie herufi sahihi, mnaboa

Wananiboa kishenzi hizo tabia zao za kifacebook facebook, kuna binti mmoja niliwahi kumwambia kuwa ukiendelea na hiyo tabia yako ya kuandika kitoto sikujibu chochote baadae alinielewa na akabadilika na kuna mmoja huyo nae namvutia pumzi tu nitakuja kumnyoosha nae ananikera kweli. Asante kwa kuleta mada mujarabu.
 
Yan wanaboa vichwa vyao xifur xijui wanawazaga nn naxhangaa xaxa utakuta j2 linakuandikia had unakaxirika bhana
 
kwanini umtumie x badala ya s, mtu anaandika xaxa akimaanisha sasa.

s badala ya th, eti nimeasirika badala ya nimeathirika.

jamani tutumie herufi sahihi, mnaboa

ndo maana kuna formal and informal language inategemea na social context nitumie lugha ipi kapate somo la stylistic wewe....mnataka hadi jf tufwate kanuni ka naandika barua kwa boss haaaa mtatuua nyie xaxa!
 
Hawa watu wanaboa kinoma mkuu, yaan utakuta kuna neno lipo vizur tu lakin wanalivuruga na kutengeneza neno tofaut kabisa ambalo huenda likawa na maana nyingine kabisa, ukiwauliza wengine watakuambia eti swaga! Swaga gani za kishamba hizoo!!

angalia nini kimemaanishwa usiangalie nini kimeandikwa!utaachwa ufe ndani ya maji kwa ubishi wa kutaka mtu aongee badala ya ishara hata kama hatari i karibu yako.kwani tatizo liko wapi?we mwache atumie "xaxa" we tumia "sasa"ilimradi ujumbe umefika na umeelewa nini kimemaanishwa.
 
Back
Top Bottom