swahaba sultan
Senior Member
- Sep 16, 2014
- 119
- 8
Walewale...Under 18 kichwani umri over 25.
we ndo chizi kweli yani,kama kweli unafaham lugha kwanini uchanganye lugha? eti "under 18"ndo nn mkuu we mwana kiswahili kumbe wengine mnafuata mkumbo tu!hah hah hah hah dah kweli we mswahili sio mwanakiswahili.