HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ila hii issue ya kutokamilisha points ndani ya maswali fualni naona inaumiza watu wengi sana kwenye hizi saili..
Watu wanatoka ndani wako stressed
Na ndio maana unaambiwa subiri PDF tu.Ukishafanya yako Muachie Mungu.Sio kila siku zinafanana.Hata hao wanaofanyisha usaili wanajua unakuwa na wenge so.Fanya Usaili,Muombe Mungu,Relax kusubiri PDF.
 
"Kuna mashirika ambayo wenyewe wangehitaji ajira za haraka haraka, lakini unaambiwa sasa subiri tume ya utumishi ikae, subiri sjui utumishi ifanyaje, kwa mfano TRA inataka watu wakakusanye mapato mwaka mzima watu hawajapatikana" - Dkt. @samia_suluhu_hassan Rais wa Tanzania
 
Mama yetu rais dk Samia uwa anasoma jf leo katuzungumzia majobless hongera yake
Kwa muda mrefu nimeku nikifanya tathimini, nimefikia hitimisho kwamba kwa kiasi kikubwa suala la kusaini barua za kazi na Katibu Mkuu ndo imekua changamoto kubwa sasa najiuliza, Sekretarieti ya Ajira mmeshindwa kuja na ubunifu wa barua kusainiwa electronically? Ukizingatia barua rasmi ya ajira inatolewa na mwajiri na siyo nyie ?
 
wabunge juzi,akiwemo olesendeka ameikaanga kichizi hii sekretarieti ,mi naona wajitathmini aiseeh,haiwezekani placement imegeuka kiiza nene kwa watafuta ajira,plus ukanda umekua mwingi inaonekana watu wa ukanda wa pwani na dsm ndio warama asali ,cc wa rusumo,kabanga na chitoholi panaugumu sana kutusua, according to wabunge juzi.
 
Na wewe unaamini kuwa hizi ajira hutolewa kwa upendeleo kikanda?
 
Back
Top Bottom