mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Na ndio maana unaambiwa subiri PDF tu.Ukishafanya yako Muachie Mungu.Sio kila siku zinafanana.Hata hao wanaofanyisha usaili wanajua unakuwa na wenge so.Fanya Usaili,Muombe Mungu,Relax kusubiri PDF.Ila hii issue ya kutokamilisha points ndani ya maswali fualni naona inaumiza watu wengi sana kwenye hizi saili..
Watu wanatoka ndani wako stressed
Kazungumzia mashirika ambayo yanaweza kuajiri ya ajiri bila vibari katolea mfano TRAKasemaje Mzee baba.Hebu tupe hints kwa Ufupi tu.
Ajira ziwai kutoka sio mtu ana subili mpaka mwaka au miezi mingikasemaje maza
Na hii ndio point ya msingiNa ndio maana unaambiwa subiri PDF tu.Ukishafanya yako Muachie Mungu.Sio kila siku zinafanana.Hata hao wanaofanyisha usaili wanajua unakuwa na wenge so.Fanya Usaili,Muombe Mungu,Relax kusubiri PDF.
Na hili kagusia kumbe???Ajira ziwai kutoka sio mtu ana subili mpaka mwaka au miezi mingi
Amesemaje?Mama yetu rais dk Samia uwa anasoma jf leo katuzungumzia majobless hongera yake
Ukute wana angalia vitu vingi nao ni binadamu kikubwa kuomba Mungu lakini mi pia nina amini aliye fanya vizuri zaidi apewe kaziIla hii issue ya kutokamilisha points ndani ya maswali fualni naona inaumiza watu wengi sana kwenye hizi saili..
Watu wanatoka ndani wako stressed
Acha kuchochea Ugomvyule nanii mkuu
Nimesikiliza kupitia radioNa hili kagusia kumbe???
Hebu Shea Link ya You tube tukatazame asee
Ni Ngumu sn kutoka Kwny Panel bila kuwa Stressed?Ila hii issue ya kutokamilisha points ndani ya maswali fualni naona inaumiza watu wengi sana kwenye hizi saili..
Watu wanatoka ndani wako stressed
Ingia facebook page ya Ikulu mawasiliano angalia kuazia saa la pili na dk 28Na hili kagusia kumbe???
Hebu Shea Link ya You tube tukatazame asee
Tuma hiyo link tuoneKazungumzia mashirika ambayo yanaweza kuajiri ya ajiri bila vibari katolea mfano TRA
Kwa muda mrefu nimeku nikifanya tathimini, nimefikia hitimisho kwamba kwa kiasi kikubwa suala la kusaini barua za kazi na Katibu Mkuu ndo imekua changamoto kubwa sasa najiuliza, Sekretarieti ya Ajira mmeshindwa kuja na ubunifu wa barua kusainiwa electronically? Ukizingatia barua rasmi ya ajira inatolewa na mwajiri na siyo nyie ?Mama yetu rais dk Samia uwa anasoma jf leo katuzungumzia majobless hongera yake
wabunge juzi,akiwemo olesendeka ameikaanga kichizi hii sekretarieti ,mi naona wajitathmini aiseeh,haiwezekani placement imegeuka kiiza nene kwa watafuta ajira,plus ukanda umekua mwingi inaonekana watu wa ukanda wa pwani na dsm ndio warama asali ,cc wa rusumo,kabanga na chitoholi panaugumu sana kutusua, according to wabunge juzi.Kwa muda mrefu nimeku nikifanya tathimini, nimefikia hitimisho kwamba kwa kiasi kikubwa suala la kusaini barua za kazi na Katibu Mkuu ndo imekua changamoto kubwa sasa najiuliza, Sekretarieti ya Ajira mmeshindwa kuja na ubunifu wa barua kusainiwa electronically? Ukizingatia barua rasmi ya ajira inatolewa na mwajiri na siyo nyie ?
πππππam telling u kama Rais kauulizia basi wiki haiishi hiiMkeka wa TRA jamaa wa frash anaweza pandisha hata bila ruhusa sasa
Na wewe unaamini kuwa hizi ajira hutolewa kwa upendeleo kikanda?wabunge juzi,akiwemo olesendeka ameikaanga kichizi hii sekretarieti ,mi naona wajitathmini aiseeh,haiwezekani placement imegeuka kiiza nene kwa watafuta ajira,plus ukanda umekua mwingi inaonekana watu wa ukanda wa pwani na dsm ndio warama asali ,cc wa rusumo,kabanga na chitoholi panaugumu sana kutusua, according to wabunge juzi.
sina comment afsa coz bdo sijalamba asali, hao ni wabunge wako walikua wakilisemea hiloNa wewe unaamini kuwa hizi ajira hutolewa kwa upendeleo kikanda?
ila hakutaja mikoa kama wewe ulivyosemasina comment afsa coz bdo sijalamba asali, hao ni wabunge wako walikua wakilisemea hilo