Hapo nipo sawa na wanaosubili mkeka yan hapa Simu nipo nayo makini naangalia network inasoma isije Kuwa wamepiga sipatikani 🤣🤣🤷♂️Aisee pole jamani,Yani Kila hatua ni stress
Yani kuna process gani ambazo huendelea baada yakupeleka barua ambazo zinachukua muda hivyo??Hapo nipo sawa na wanaosubili mkeka yan hapa Simu nipo nayo makini naangalia network inasoma isije Kuwa wamepiga sipatikani 🤣🤣🤷♂️
Mimi na wewe mkuu hatujui kwa kweli ila itakua mambo ya kuingizwa kwenye system labdaYani kuna process gani ambazo huendelea baada yakupeleka barua ambazo zinachukua muda hivyo??
Wanajua kututesaHapo nipo sawa na wanaosubili mkeka yan hapa Simu nipo nayo makini naangalia network inasoma isije Kuwa wamepiga sipatikani 🤣🤣🤷♂️
duuuh kweli ajira ni ngumuMimi na wewe mkuu hatujui kwa kweli ila itakua mambo ya kuingizwa kwenye system labda
Hilo halinashaka kaka madam umepenya kwenye tundu la sindano ata wakisema january weee uhakika upo tofauti na anayepambania kupenya kwenye tundu la sindanoWakuu mie jobless tu Kama nyie nilisharipoti makao makuu barua iliponielekeza nikajaza form kibao na copy za vyeti nida na benki kibao then nikaambiwa niende tu nyumbani watanipigia simu eti 🤣🤣🤣 nawauliza lini wanasema niende tu Bado sana huu mwezi wa kumi wakaniambia utaisha na hata wa 11 pia so mie nipo kwenye Uzi huu Kila siku na like tu wakuu Sina hata mood
Acha nisubr nione itakuajeHilo halinashaka kaka madam umepenya kwenye tundu la sindano ata wakisema january weee uhakika upo tofauti na anayepambania kupenya kwenye tundu la sindano
Acha nisubr nione itakuaje
Kweli maana hapa nawaza ukitoka mkeka wa interview naeda tu mie au placement nafata tu Tena barua mie wananichanganya sana hapa hata sielewiTuombe mambo yakamilike haraka
Ukifata barua siitakuwa yaleyale tuKweli maana hapa nawaza ukitoka mkeka wa interview naeda tu mie au placement nafata tu Tena barua mie wananichanganya sana hapa hata sielewi
Sasa nifanyaje niache tu na sijaitwa kuanza kazi je mchakato ukasitiswa huko wakasema kazi zitangazwa Tena watu waombe na Huku kwingine sijaenda kuchukua barua afu Huku kwingine ni chuo najua wapo faster sema ndo hivyo acha tuone itakuajeUkifata barua siitakuwa yaleyale tu
Hivi hawa watu wa bunge washanza kazi kweli maana hatujatofautiana mda sanaUkifata barua siitakuwa yaleyale tu
Ikitoka ya chuo kachukue mzee inaonekana kuna taasisi zina mlolongo mrefu Kuna jamaa alipata ICot ya morogoro process Ilikua ndefu kama hii yako sijui kwaniniSasa nifanyaje niache tu na sijaitwa kuanza kazi je mchakato ukasitiswa huko wakasema kazi zitangazwa Tena watu waombe na Huku kwingine sijaenda kuchukua barua afu Huku kwingine ni chuo najua wapo faster sema ndo hivyo acha tuone itakuaje
Sijajua lakini nadhani wameanza kaziHivi hawa watu wa bunge washanza kazi kweli maana hatujatofautiana mda sana
Sawa acha tuone itakuaje mpaka mwezi huu MwishoSijajua lakini nadhani wameanza kazi
Poa poaSawa acha tuone itakuaje mpaka mwezi huu Mwisho
Hizi za chuo nazo mbona wanadelay placement wakati wiki mbili tu zimebaki raia kurudi chuoSasa nifanyaje niache tu na sijaitwa kuanza kazi je mchakato ukasitiswa huko wakasema kazi zitangazwa Tena watu waombe na Huku kwingine sijaenda kuchukua barua afu Huku kwingine ni chuo najua wapo faster sema ndo hivyo acha tuone itakuaje
Hahahahahaaa, uliporudi PSRS niliwahi kugusia huu mchakato mrefu wa kusajiliwa kazini. Nilitolea mfano jamaa moja ninayemjua alienda kuchukua barua PSRS mwezi wa saba, alipoipeleka kwa mwajiri alikutana na hizo process, juzi kati wakati placement yenu inatoka ndio akapewa barua ya kwenda kuripoti kazini.Wakuu mie jobless tu Kama nyie nilisharipoti makao makuu barua iliponielekeza nikajaza form kibao na copy za vyeti nida na benki kibao then nikaambiwa niende tu nyumbani watanipigia simu eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nawauliza lini wanasema niende tu Bado sana huu mwezi wa kumi wakaniambia utaisha na hata wa 11 pia so mie nipo kwenye Uzi huu Kila siku na like tu wakuu Sina hata mood
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo nipo sawa na wanaosubili mkeka yan hapa Simu nipo nayo makini naangalia network inasoma isije Kuwa wamepiga sipatikani [emoji1787][emoji1787][emoji2369]
Hata nao siwaelewi Wana lengo Gan Hapa mie nilipga hesabu nikajua mpaka tarehe nne watatoa mkeka ila naona kimyaHizi za chuo nazo mbona wanadelay placement wakati wiki mbili tu zimebaki raia kurudi chuo