Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu mie jobless tu Kama nyie nilisharipoti makao makuu barua iliponielekeza nikajaza form kibao na copy za vyeti nida na benki kibao then nikaambiwa niende tu nyumbani watanipigia simu eti 🤣🤣🤣 nawauliza lini wanasema niende tu Bado sana huu mwezi wa kumi wakaniambia utaisha na hata wa 11 pia so mie nipo kwenye Uzi huu Kila siku na like tu wakuu Sina hata mood
Hilo halinashaka kaka madam umepenya kwenye tundu la sindano ata wakisema january weee uhakika upo tofauti na anayepambania kupenya kwenye tundu la sindano
 
Ukifata barua siitakuwa yaleyale tu
Sasa nifanyaje niache tu na sijaitwa kuanza kazi je mchakato ukasitiswa huko wakasema kazi zitangazwa Tena watu waombe na Huku kwingine sijaenda kuchukua barua afu Huku kwingine ni chuo najua wapo faster sema ndo hivyo acha tuone itakuaje
 
Ikitoka ya chuo kachukue mzee inaonekana kuna taasisi zina mlolongo mrefu Kuna jamaa alipata ICot ya morogoro process Ilikua ndefu kama hii yako sijui kwanini
 
Sasa nifanyaje niache tu na sijaitwa kuanza kazi je mchakato ukasitiswa huko wakasema kazi zitangazwa Tena watu waombe na Huku kwingine sijaenda kuchukua barua afu Huku kwingine ni chuo najua wapo faster sema ndo hivyo acha tuone itakuaje
Hizi za chuo nazo mbona wanadelay placement wakati wiki mbili tu zimebaki raia kurudi chuo
 
Wakuu mie jobless tu Kama nyie nilisharipoti makao makuu barua iliponielekeza nikajaza form kibao na copy za vyeti nida na benki kibao then nikaambiwa niende tu nyumbani watanipigia simu eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nawauliza lini wanasema niende tu Bado sana huu mwezi wa kumi wakaniambia utaisha na hata wa 11 pia so mie nipo kwenye Uzi huu Kila siku na like tu wakuu Sina hata mood
Hahahahahaaa, uliporudi PSRS niliwahi kugusia huu mchakato mrefu wa kusajiliwa kazini. Nilitolea mfano jamaa moja ninayemjua alienda kuchukua barua PSRS mwezi wa saba, alipoipeleka kwa mwajiri alikutana na hizo process, juzi kati wakati placement yenu inatoka ndio akapewa barua ya kwenda kuripoti kazini.

Tuendelee kufarijiana hapa mkuu, wewe unasubiri koki ya mrija wa asali ifungwe, wengine tunapambana kuipata koki ambapo tunaweza kuipata au tuikose
 
Hapo nipo sawa na wanaosubili mkeka yan hapa Simu nipo nayo makini naangalia network inasoma isije Kuwa wamepiga sipatikani [emoji1787][emoji1787][emoji2369]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom