Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Poa poa mkuuu ukiwa jobless unafanya vitu vingi vitu vikianza kutiki unaanza kuchanganyikiwa mfano baada ya kuona sipati kazi nikasema nirudi chuo mwaka huu Sasa hapa pia sielewi kama watakua hawajaniita sijui nikalipoti tu chuo mpka siku wakinitaa sijui nikaushe tu hahhahaa dah USHAURI
Jamani si watangaze tu kwenye portal, kwahvyo hapo hujapatikana imekula kwako😰Nasikia duce wameanza kuita uko wanapigiwa simu
Labda kwa vyuo ambavyo wanatoa kozi ngazi ya diploma (maana utakua unafundisha madogo wa diploma na hiyo bachelor yako).TA sio lazima uanze kusoma ukishaajiliwa inakuaga wanakupa muda kama miaka mitatu hivi lazima uwe umeanza kujiendeleza
In addition to this, pia kuna ma tutorial assistants kwenye taasisi za elimu ya juu zisizokua vyuo vikuu ambao wanafundisha diploma.Na wanaofundisha diploma kwenye vyuo vya kati wanaitwa TUTOR mfano veta, ADEM, vyuo vya Ualimu vitoavyo diploma n.k ila vyuo vikuu ndio uitwa TUTORIAL ASSISTANT japo wote sifa ni degree japo chuo kikuu wanaangalia na GPA wanataka ya 3.8 +
Duce wameweka majina kwenye website yaoNasikia duce wameanza kuita uko wanapigiwa simu
Kongole kwaoDuce wameweka majina kwenye website yao
Bora tu walivyoamua kujisimamia wenyewe kuliko kutegemea hawa wenye speed ya konokono
Kama wanasema siku ileile ya oral majina ya waliofaulu yanapatikana sasa kinachowasubirisha kutoa hyo majina ni nini?
Hopeless kiukukwel
Tuendelee kupambana aiseeIpo siku milango itafunguka tu
Degree pale MUHASTA alikua anafundisha level gani ? Diploma ?
Wanaita kazini?Nasikia duce wameanza kuita uko wanapigiwa simu
AmenIpo siku milango itafunguka tu
NdioWanaita kazini?
Hizi taasisi za zinazojitegemea zingefanya huu mchakato wenyewe. Baada ya kupewa matokeo ya Interviews kutoka Utumishi watangaze matokeo yao. Kuwategemea Utumishi ni jipu wapo slow sana.Ndio
Hiki ni chuo nahisi wanapeleka fasta kutokana na kinatarajia kufunguliwa hivi karibuni so nahic wanataka wakamilishe haraka waanze kazi haraka pia.Hizi taasisi za zinazojitegemea zingefanya huu mchakato wenyewe. Baada ya kupewa matokeo ya Interviews kutoka Utumishi watangaze matokeo yao. Kuwategemea Utumishi ni jipu wapo slow sana.
Mmmh hii ni very strange. Labda pengine walilazimika kufanya hivyo kutokana na uhaba wa watumishi kwa wakati huo.Degree pale MUHAS
Wanaandika hivyo kwenye maelezo ila ukweli katika vyuo ni kua TAs wanafundisha undergraduates.Mmmh hii ni very strange. Labda pengine walilazimika kufanya hivyo kutokana na uhaba wa watumishi kwa wakati huo.
Nafahamu kwamba unaongea hivyo kwa experience, hivyo sina mashaka kabisa na ukweli wa hii situation.
Hata hivyo, muongozo wa "maslahi, majukumu na vigezo au sifa za watumishi" wa Chuo kikuu MUHAS, yaani MUHAS SCHEME OF WORK 2013, unaeleza haya juu ya nafasi ya tutorial assistant.
View attachment 2379368
Majukumu yote hapo juu yanamtaka TA afanye kazi za "saidia fundi"
Kipengele cha pili kinamlazimisha akaongeze elimu.
Mmmh hii ni very strange. Labda pengine walilazimika kufanya hivyo kutokana na uhaba wa watumishi kwa wakati huo.
Nafahamu kwamba unaongea hivyo kwa experience, hivyo sina mashaka kabisa na ukweli wa hii situation.
Hata hivyo, muongozo wa "maslahi, majukumu na vigezo au sifa za watumishi" wa Chuo kikuu MUHAS, yaani MUHAS SCHEME OF WORK 2013, unaeleza haya juu ya nafasi ya tutorial assistant.
View attachment 2379368
Majukumu yote hapo juu yanamtaka TA afanye kazi za "saidia fundi"
Kipengele cha pili kinamlazimisha akaongeze elimu.
Sidhani jamaa kapita chuo gani ambacho TA hakuna anachofanyaWanaandika hivyo kwenye maelezo ila ukweli katika vyuo ni kua TAs wanafundisha undergraduates.
Ulipita oral?Wakuu kwema?? Kwa bahati mbaya nimekandwa DUCE post ilikua ya mtu mmoja ivi kuhusu kanzidata kuna ukwel wowote maana naona kama sielewi vile mwenye kujua naomba muongozo wakuu
You will never see something like that at the University of Dar es Salaam.Wanaandika hivyo kwenye maelezo ila ukweli katika vyuo ni kua TAs wanafundisha undergraduates.
There's a next time usihofu endelea na mishe nyingineWakuu kwema?? Kwa bahati mbaya nimekandwa DUCE post ilikua ya mtu mmoja ivi kuhusu kanzidata kuna ukwel wowote maana naona kama sielewi vile mwenye kujua naomba muongozo wakuu