Mmmh hii ni very strange. Labda pengine walilazimika kufanya hivyo kutokana na uhaba wa watumishi kwa wakati huo.
Nafahamu kwamba unaongea hivyo kwa experience, hivyo sina mashaka kabisa na ukweli wa hii situation.
Hata hivyo, muongozo wa "maslahi, majukumu na vigezo au sifa za watumishi" wa Chuo kikuu MUHAS, yaani MUHAS SCHEME OF WORK 2013, unaeleza haya juu ya nafasi ya tutorial assistant.
View attachment 2379368
Majukumu yote hapo juu yanamtaka TA afanye kazi za "saidia fundi"
Kipengele cha pili kinamlazimisha akaongeze elimu.