Embu fanya mambo mengine acha kuwaza hilo maisha lazima yaendelee bado ww ni kijana na kuna fursa nyingi nje so zitumie hizo fursa na wakati wa kupata ajira basi utapata.Written niliongoza mm tena kwa gap kubwa La marks tu ila nimekandwa huenda oral labda sikufanya vzr
Unafikir nawaza mkuu ukiona umekosa kama hivo naamini sana kuwa haikuwa nafasi yangu kuna nafasi nzuri zaidi inakujaEmbu fanya mambo mengine acha kuwaza hilo maisha lazima yaendelee bado ww ni kijana na kuna fursa nyingi nje so zitumie hizo fursa na wakati wa kupata ajira basi utapata.
I feel you bro! Huenda matokeo ya written yalikufanya urelax na ku underestimate uliokua shortlisted nao, but hizo ni separate entities huenda wewe ulikua bora katika kuandika tu ila wenzio walikua vyema zaidi katika kuongea.Written niliongoza mm tena kwa gap kubwa La marks tu ila nimekandwa huenda oral labda sikufanya vzr
Nakuelewa sana mkuuI feel you bro! Huenda matokeo ya written yalikufanya urelax na ku underestimate uliokua shortlisted nao, but hizo ni separate entities huenda wewe ulikua bora katika kuandika tu ila wenzio walikua vyema zaidi katika kuongea.
Just get ready for next opportunities na kujiandaa zaidi. Upo na mfadhaiko kwa sasa ila maisha lazima yasonge mbele brother.
Ni kweli.wakati wa Mungu ni wakati sahihiI feel you bro! Huenda matokeo ya written yalikufanya urelax na ku underestimate uliokua shortlisted nao, but hizo ni separate entities huenda wewe ulikua bora katika kuandika tu ila wenzio walikua vyema zaidi katika kuongea.
Just get ready for next opportunities na kujiandaa zaidi. Upo na mfadhaiko kwa sasa ila maisha lazima yasonge mbele brother.
Ulijibu maswali yote ya oral??Unafikir nawaza mkuu ukiona umekosa kama hivo naamini sana kuwa haikuwa nafasi yangu kuna nafasi nzuri zaidi inakuja
Yani mkuu huenda haikua bahati tu maswali yalikua ya kawaida tu so magumu kutokana na presentation ulioifanya nilijibu ndio lakini huenda sikujibu hundred percentUlijibu maswali yote ya oral??
Mbona sijaona placement umejuaje Kua umekandwaYametoka nimekandwa mkuu
Nenda website ya duce wametoa Jana mi nimeyaona asubuhiMbona sijaona placement umejuaje Kia umekandwa
Yani mkuu huenda haikua bahati tu maswali yalikua ya kawaida tu so magumu kutokana na presentation ulioifanya nilijibu ndio lakini huenda sikujibu hundred
Mambo ya ajira yana mambo meng mkuu...potezea t maisha yaende hope kuna kz nyingine utapataYani mkuu huenda haikua bahati tu maswali yalikua ya kawaida tu so magumu kutokana na presentation ulioifanya nilijibu ndio lakini huenda sikujibu hundred percent
Nimeona bana pole sisi pia tunasubiri placementNenda website ya duce wametoa Jana mi nimeyaona asubuhi
Nadhani walipita walikua wameshapigiwa simu kabla ya kupublish Kule kwenye website ya duceNenda website ya duce wametoa Jana mi nimeyaona asubuhi
Uko sahihi mkuu.Wanaandika hivyo kwenye maelezo ila ukweli katika vyuo ni kua TAs wanafundisha undergraduates.
Kama umefaulu vizuri oral(wao ndio wanajua) utahifadhiwa kwenye kanzidata, nafasi ikitokea kwenye taasisi yeyote wwtaangalia kama kuna watu wa akiba(kanzidata), wakikuta wapo mnapewa hizo nafasi.Wakuu kwema?? Kwa bahati mbaya nimekandwa DUCE post ilikua ya mtu mmoja ivi kuhusu kanzidata kuna ukwel wowote maana naona kama sielewi vile mwenye kujua naomba muongozo wakuu
Udsm hao huwa tunawaita seminar leaders, kazi yao ni kusimamia seminar tu.You will never see something like that at the University of Dar es Salaam.
Kama unao ushahidi wowote, idara yoyote, somo lolote (kutoka UDSM), karibu.
Shukran sana mkuu japo kwa kada yangu tofauti na tutorial assistant nafasi zingine za kawaida huwa ni ngumu kutoka utumishiKama umefaulu vizuri oral(wao ndio wanajua) utahifadhiwa kwenye kanzidata, nafasi ikitokea kwenye taasisi yeyote wwtaangalia kama kuna watu wa akiba(kanzidata), wakikuta wapo mnapewa hizo nafasi.
Kwa sasa kwa kuwa hujui kuhusu hilo(kama ulifaulu vizuri ama la), endelea kupambana na posts zingine zitakazojitokeza
Sasa ndio umeiweka vizuri na imeelewekaNadhani tunatofautiana tafsiri ya "kufundisha" kwa muktadha wa chuo kikuu, na mgawanyo wa majukumu baina ya ngazi mbalimbali za wahadhiri.
Kama kuongoza tutorials, seminars, kuelekeza practicals, kusimamia field excursions, kusaidia kufunga "projekta" nako ni kufundisha, mimi naishia hapa na kuungana na ninyi kwamba TA nayeye anafundisha wanafunzi wanaosoma bachelor.
Na kwa namna hiyo hata wale technical staffs (laboratory technicians, et al, na wao Wanafundisha). Tena hawa wengine wana diploma tu.
Kwa viwango, utaratibu na miongozo, kufundisha (kwa teaching staffs) ni lecturing and examining students.
Yeah sometimes ni ngumu kweli but jitahidi pia kuomba kwenye NGOs.Shukran sana mkuu japo kwa kada yangu tofauti na tutorial assistant nafasi zingine za kawaida huwa ni ngumu kutoka utumishi
Kufaulu written(yaani kuwa selected) ni sawa na kufaulu form 4.Written niliongoza mm tena kwa gap kubwa La marks tu ila nimekandwa huenda oral labda sikufanya vzr