Nadhani tunatofautiana tafsiri ya "kufundisha" kwa muktadha wa chuo kikuu, na mgawanyo wa majukumu baina ya ngazi mbalimbali za wahadhiri.
Kama kuongoza tutorials, seminars, kuelekeza practicals, kusimamia field excursions, kusaidia kufunga "projekta" nako ni kufundisha, mimi naishia hapa na kuungana na ninyi kwamba TA nayeye anafundisha wanafunzi wanaosoma bachelor.
Na kwa namna hiyo hata wale technical staffs (laboratory technicians, et al, na wao Wanafundisha). Tena hawa wengine wana diploma tu.
Kwa viwango, utaratibu na miongozo, kufundisha (kwa teaching staffs) ni lecturing and examining students.