ery mendez
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 298
- 626
Amina i receiveWiki inayoanza kesho kutwa j3 placements zinakuwa kwa hewa so tuvute subira tu...... Kabla yq ijumaa mambo yatakuwa yamekwiva na miongozi mwetu hapa watakuwa wameshanyakuliwa na kubadilisha majina toka MA JOBLESS nakuwa PUBLIC SERVANTS