Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna pisi yangu ilinitema kisa shekeri(mali za kaisari) niliona tu nikipiga simu nafokewa kama mtoto sijakaa vizuri akaolewa kabisa hahhhh
Hahahahaa, pole sana mkuu.

Hilo nalo litakuwa historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…