HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hakika kumekucha,wengine Leo naimani hawajalala,furaha walizonazo ni Kubwa sana baada ya Jana kuona Majina Yao kwenye PDF...
Bado mapambano yanaendelea,siku nyingine mpya,kila siku mpya tumaini jipya linakuja.
yaani mtu aliepata kazi kila akistuka usingizini ni tabasamu linamjia kwenye nafsi hongereni sana jaman mlio onja mrija wa asali
 
Mkuu Mwifwa hivi barua tunazofuata pale PSRS masjala ya wazi ni specially kwa Mwajiri na natakiwa nisiifungue Hadi niwasilishe kwa mwajiri wangu au inakuwaje kaka...?
Hebu nitoe tongotongozo hapa, nisije kufungua nikaonekana Sina adabu kwa Mwajiri😁😁
 
Good morning guys. Wale wa Takukuru mzigo umeachiwa hukoo. Kaangalieni majina yaani mwaka huu ni bandika banduaaa
Binafsi Japo kila Raisi ana mapungufu yake lkn Mama kaziilisha Upendo wake Kwa Watoto wake. Anamwaga Sana Asali Kwa Vijana naamini hata Mi Siku Moja ndani ya Uongozi wake nitalamba Asali yangu.
 
Back
Top Bottom