HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
where u champ?
 
Yani hata sielewi Mkuu maana kilakitukinachohitajika niliweka labda walipiga mstari shwaa, zile za takukuru tuliitwaga nyomi nilikandwa nashangaa saivi hata kuwa shortlisted hakuna asee
Kule ni balaaa, achilia mbali connection tuu. Hao jamaa wanajiaminigi sana nakumbuka siku ya kufanya ile aptitude test pale Udom walikuwa staffs watatu halafu yule staff mmoja ambaye alikuwa ni mwanume akawa anasema tuu ukiibia tuu jua tutakuona. Nakusihii sana fanya mwenyewe kwa akili yako halafu akawa anacheka tuu. Of course walikuwa ni wacheshi kwani kuna muda walijitambulisha na nafasi zao huko maofisini na kuweka viutani utani kidogo.
 
Yani hata sielewi Mkuu maana kilakitukinachohitajika niliweka labda walipiga mstari shwaa, zile za takukuru tuliitwaga nyomi nilikandwa nashangaa saivi hata kuwa shortlisted hakuna asee
Ww umekuwa kama mm mwaka juzi polisi niliomba nkawa shortlisted nkafanya usaili wote nkaja kukandwa kwenye PDF la mwisho..

Sasa ya mwaka jana hata kuwa shortlisted sikuwemo na sasa li PDF lao halijatoka bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…