Swali lake huyo bwana juu hapo mbona ni la kitoto sana eti expenses ambazo haziwi recognized katika kodi lakini kwa wahasibu zinaruhusiwa sasa mtu aliyesoma kodi atashindwaje kujibu kitu ambacho Act inamuelekeza ama kumpatia muongozo eti Poti?Mbona jamaa kaeleza kitu kwa ufasaha hapo, eleza wewe udeep ambao yy hajeeleza. Kwangu mm naona waliosoma uhasibu ni wazuri sana kwenye masuala karibu yote yahusuyo fedha.
Ameomba hapo juu ueleze gharama angalau 5 unazozijua ambazo zinaondolewa, hujataja, kaja yy kaweka mfano hapo napo unadai waliosoma kodi wako deep, sasa weka hizo expenses hapo
Ndugu yangu ili expenses iondolewe ni kutokana na Circumstances ss hapo unataka nitaje vipi mfano katoa Yeye mwenyewe na kaona Utofauti ulipo.Mbona jamaa kaeleza kitu kwa ufasaha hapo, eleza wewe udeep ambao yy hajeeleza. Kwangu mm naona waliosoma uhasibu ni wazuri sana kwenye masuala karibu yote yahusuyo fedha.
Ameomba hapo juu ueleze gharama angalau 5 unazozijua ambazo zinaondolewa, hujataja, kaja yy kaweka mfano hapo napo unadai waliosoma kodi wako deep, sasa weka hizo expenses hapo
Na kule kwenye mada za Subaru na Altezza (magari)Hata huyu atapotea tu, tutaanza kumsoma kule kwa rikiboy, kula kimasikhara, ngoja aanze zile ziara za kikazi. [emoji2957]
Umewahi kushika paper la TAXATION LA MZUMBE? Linakuwa sawa na la CPA ambalo wewe uliyesoma kodi miaka 3 hutoboi.Sema tatzo mwamba CPA yake ndy inafanya abishane lkn akirudi Nyuma wkt anasoma accounting (ni kweli aliweza kupata knowledge ya kutosha Kwenye Kodi) au kaja kujazia knowledge baada ya kuanza kusoma hyo CPA (Japo sio deep lkn wanagusa sn taxation kuliko walivyogusa kwenye Bachelor ya accounting)
Unauwakika gani sitoboiUmewahi kushika paper la TAXATION LA MZUMBE? Linakuwa sawa na la CPA ambalo wewe uliyesoma kodi miaka 3 hutoboi.
Ndugu yangu ili expenses iondolewe ni kutokana na Circumstances ss hapo unataka nitaje vipi mfano katoa Yeye mwenyewe na kaona Utofauti ulipo.
Ushawahi kusikia kitu inaitwa IAS? INTERNATIONAL ACCOUNTING STANDARDS? Acha hiyoooo hakuna kitu utafanya usijue msingi wake kwenye uhasibu.Swali lake huyo bwana juu hapo mbona ni la kitoto sana eti expenses ambazo haziwi recognized katika kodi lakini kwa wahasibu zinaruhusiwa sasa mtu aliyesoma kodi atashindwaje kujibu kitu ambacho Act inamuelekeza ama kumpatia muongozo eti Poti?
Mwisho ila si kwa umuhimu mtu wa kodi anasoma sheria ambayo inamruhusu kujua field mbali mbali na namna wanavyofanya hesabu zao from Insurance companies to clubs,partnerships,trusties and others kitu ambacho mtu ambaye amepiga accounts bila CPA atapiga chafya tuu.
Yale yale ya kukariri madudu. Hao jamaa juu wako sawa kabisa.Section 11 ya Income tax Act imeeleza wazi juu ya deductions.
Tatizo Jamaa sijui wanabisha nnSection 11 ya Income tax Act imeeleza wazi juu ya deductions na mambo yafananayo lakini same section 7,8,9 bado pia zinatoa maelekezo nini cha kufanya heheh!.
Hii hata mtu wa Kodi anasoma kweny Auditing and assurance Japo most of time wanabase chapter 500Ushawahi kusikia kitu inaitwa IAS? INTERNATIONAL ACCOUNTING STANDARDS? Acha hiyoooo hakuna kitu utafanya usijue msingi wake kwenye uhasibu.
Sasa poti kuniuliza naifahamu IAS kumaanisha nini tena wapoti watu tumeiona US GAAP, ila yote kwa yote utatumia General accepted principle lakini utarudi kwenye sheria za kodi za nchi husika zinasemaje Muraa.Ushawahi kusikia kitu inaitwa IAS? INTERNATIONAL ACCOUNTING STANDARDS? Acha hiyoooo hakuna kitu utafanya usijue msingi wake kwenye uhasibu.
Sasa utafanyaje administration ya kodi ukiwa kipofu wa sheria za kodi poti? Etii?Yale yale ya kukariri madudu. Hao jamaa juu wako sawa kabisa.
Atakua ameshavuta huyo mnyama mwitu(mnyama wa forest a.k.a Forester) sababu jana niliona namba E pale NAOT nikiwa naelekea psrs[emoji28]Nitumie link ya uzii wa subaru kaka, unaposhindaa siku izii.
Vijana, kwenye Uhasibu KODI ni LAZIMA sio OPTION. Afu nimesema hapo, weka hizo expenses, hii kusema sijui Section ngapi imeeleza ndio nini?Tatizo Jamaa sijui wanabisha nn
Sure hii nakubaliana nanyi kabisa...mie nilifanya oral ya Tutorial Assistant (kiswahili) ya chuo X, tulikuwa watu 7 nafasi ilikuwa 1, kuna jamaa alipata ila juzi tu hapo Mzumbe wametangaza tena nafasi ya Tutorial Assistant (kiswahili) nafasi moja.Hadi sasa hatujawahi kuona Data base yao badala yake huwa tunaona re-advertise. Kwa hiyo tunaweza kuhitimisha kuwa hakuna database ya Wakufunzi.
🤣🤣🤣🤣 kijana Mwifwa yuko speed, sasa angetupa link io, tulikuwa pamoja humu nyakati za huzuni, nyakati za furaha izi hataki ku share link.Atakua ameshavuta huyo mnyama mwitu(mnyama wa forest a.k.a Forester) sababu jana niliona namba E pale NAOT nikiwa naelekea psrs[emoji28]
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Hapo Usitegemee km naweza kukujibu? Maana hata hizo ambazo Ni NON ALLOWABLE EXPENSES/EXPENDITURES zinakuwa add back Kwa sababu ya Mistreated Tu (Km Ikisoma vzr nilisema zinapingana na Sheria yako)Vijana, kwenye Uhasibu KODI ni LAZIMA sio OPTION. Afu nimesema hapo, weka hizo expenses, hii kusema sijui Section ngapi imeeleza ndio nini?
Vijana, kwenye Uhasibu KODI ni LAZIMA sio OPTION. Afu nimesema hapo, weka hizo expenses, hii kusema sijui Section ngapi imeeleza ndio nini?