Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,776
- 126,721
Kipando bado wakuu, kuweni na subira, mambo yakinyooka kitakuja chenyewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kijana Mwifwa yuko speed, sasa angetupa link io, tulikuwa pamoja humu nyakati za huzuni, nyakati za furaha izi hataki ku share link.
Parking ya huku utafikiri ni Yard Maseniors wana vipando si mchezo[emoji3][emoji3]