Kipando bado wakuu, kuweni na subira, mambo yakinyooka kitakuja chenyewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kijana Mwifwa yuko speed, sasa angetupa link io, tulikuwa pamoja humu nyakati za huzuni, nyakati za furaha izi hataki ku share link.
Bhs sw huko Kweny Mambo yenu sina neno lkn nilimaanisha IAS hiyo nyingine siijui KabsaUnachanganya madesa kiongozi kuna international accounting standards(IAS) na international standards of Auditing(ISA)
Kajamaa haka bhana akishaweka ndo keshakuwa msomi?
1. Cafteria services provided under discriminatory is not allowable expenses.
2. Same to medical services
3. Provisional expenses
4. Expenses with capital nature.
5. Depreciation calculated without using Depreciatable asset pools under tax schedules.
Mzee hadithi ni nyingi muda ni mchache sheria inatoa miongozo mbali mbali.
Acha nikupige counter attack uta prove vipi sales za company ambayo inafanya manufacturing au inauza unprocessed agricultural products apart from using EFD Annual repo
Kak mbona presumptive tax system ni kit easy sana sabab assessment of tax is based on average turnover received by the trader during the year of income so ni swala la kumhoji mteja na kujua ana wastani wa mauzo ya kias gani kwa siku minimum na maximum ili upate average ya total turnover kwa mwaka then unamu asses kulingana na presumptive tax schedule ambayo ipo wazi kwenye act. Ni easy sanaAchana nao hao kodi inakwenda sanjali na hesabu na sheria huyo anayejikuta mhasibu sana ukimuambia aitax partnership atabaki ametoa macho tuu na ndio maana unapewa semina pale ili kukufundisha hata jinsi ya kumtax presumptive asije akakutoa maana na tai yako kwa kukosa kujua sheria.
Wahasibu wanaamini kila kitu ni FS hahaha! Sasa presumptive wanatengeneza hesabu? Ni majitu ya kukariri IAS na kutambisha nina CPA lakini kwenye kodi walio wengi ni karatasi tuu.
Huyu wa kumuhoji hiv si ambae hatuzi RecordsKak mbona presumptive tax system ni kit easy sana sabab assessment of tax is based on average turnover received by the trader during the year of income so ni swala la kumhoji mteja na kujua ana wastani wa mauzo ya kias gani kwa siku minimum na maximum ili upate average ya total turnover kwa mwaka then unamu asses kulingana na presumptive tax schedule ambayo ipo wazi kwenye act. Ni easy sana
Presumptive tax system ina apply kwa wote those who maintain accurate financial records and those who do not kikubwa tu ukiwa na turnover ya 100m and above lazima u keep records na uandae audited financial statementsHuyu wa kumuhoji hiv si ambae hatuzi Records
Rejea ulipoanza kuandika Max and Min daily turnover yake? Ndy ss mtu ambae anatunza Records utamuuliza hivyo au ndy tunaanza Kukariri tuliyoyafanya Field mlipokuwa mnadeal na New Taxpayer Kwenye kuwakadiliaPresumptive tax system ina apply kwa wote those who maintain accurate financial records and those who do not kikubwa tu ukiwa na turnover ya 100m and above lazima u keep records na uandae audited financial statements
Hapa ndipo titanic ilipogonga mwamba na kuzama rejea sheria urekebishe hiyo definition yako, ila yote kwa yote professions zote ni muhimu sana.Presumptive tax system ina apply kwa wote those who maintain accurate financial records and those who do not kikubwa tu ukiwa na turnover ya 100m and above lazima u keep records na uandae audited financial statements
Presumptive tax payer halazimiki kuandaa financial statementsPresumptive tax system ina apply kwa wote those who maintain accurate financial records and those who do not kikubwa tu ukiwa na turnover ya 100m and above lazima u keep records na uandae audited financial statements
Kila kitu kinapangwa na Mungu Boss, panel haiwezi zuia watu kuendesha mjadala, pasipo kujua kupitia hii discussion tunabadilishana knowledge pia [emoji28]Maelezo meeengi, shule nyiiiiingi, kwenye panel chali[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii energy muinvest toward the right destination, i.e panel
Sure halazimiki kuandaa statements. Lakin hao presumptive tax payers schedule imewa categorize kwenye makundi mawili wanao keep records na wasio keep recordsPresumptive tax payer halazimiki kuandaa financial statements
Una group la takukuru la kusoma unipe linkNauliza kama mtu umekuwa shortlisted kwenye written ya takukuru ila kozi yako haipo kwenye tangazo inakuaje hapo
Kama umepewa namba ya mtihani kapige usaili...wenyewe wameona unafit, wasiwasi wako ni nini?Nauliza kama mtu umekuwa shortlisted kwenye written ya takukuru ila kozi yako haipo kwenye tangazo inakuaje hapo
Kama tangazo lina related courses nenda. Kwanini uombe wakat course yako haipo?Nauliza kama mtu umekuwa shortlisted kwenye written ya takukuru ila kozi yako haipo kwenye tangazo inakuaje hapo
Tunavuta muda Kaka Huko kwenye Website Yao ni tafarani hakuna kituNyie watu wa Tax na account si mmalize tofauti zenu wazee?
Tajadili placements kwanza🤣
Madhara ya Account yake arafu Bado anabisha tu kuwa Acc ni mtamu kwenye Kodi kuliko mtu wa Kodi mwenyewe.Presumptive tax payer halazimiki kuandaa financial statements