HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naomba kuuliza kama umeshapita oral interview alafu ukafanikiwa kuitwa kazini lakin weww ni mtumishi WA halmashauri X je utasubiri mpaka barua Toka kwa mkurugenzi wako WA halmashauri ndio uripoti kituo kipya Cha kazi au inakuaje apo wadau?
Sasa nyie si ndio watumishi huko serikalini!!! halafu hamfuati sheria, kanuni, mionģozo na taratibu za kiutumishi!!!

Tangazo huwa linasema kabisa kama ni mtumishi upate ridhaa ya bosi wako.

Sasa sisi jobless tutakupa kitu gani?, Zaidi ya sisi kupokea hekima toka kwako mtumishi wa halmashauri, daah ngoja watumishi wenzako wakupe majibu, sababu hapa hakiharibiki kitu.
 
Zaid asilimia 70 ya TMO tunaoenda training chuo cha kodi intake hii 2023 ni watu wa accounts & finance chukua io
Bhn taarifa zako uwe unazichunguza vizuri km tu Kwa CG ulisema wote Wana CPA na ni watu wa Accounting lkn Kwa Mr Alphayo Kidata haipo hivyo ss sijui utatuaminisha Kwa maneno gani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Wanasahau Accounts ni sehemu ya Finance. Wahuni waliichomoa kwenye Finance ikawa course.
 
Naomba kuuliza kama umeshapita oral interview alafu ukafanikiwa kuitwa kazini lakin weww ni mtumishi WA halmashauri X je utasubiri mpaka barua Toka kwa mkurugenzi wako WA halmashauri ndio uripoti kituo kipya Cha kazi au inakuaje apo wadau?
Hongera sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…