Nenda Dodoma chukua barua. Kisha nenda kwa HR wako muelezee kuwa umepata kazi mpya hivyo wakufungie data sheet. Akileta kauzibe funga mlango mwambie haya ni maisha na sisi ni wanaume tunapambana mchane tu FACE TO FACE mkiwa wanaume wawili mpe na elfu 10 ya maji.Naomba kuuliza kama umeshapita oral interview alafu ukafanikiwa kuitwa kazini lakin weww ni mtumishi WA halmashauri X je utasubiri mpaka barua Toka kwa mkurugenzi wako WA halmashauri ndio uripoti kituo kipya Cha kazi au inakuaje apo wadau?
Itachelewa ila itakuja,Data base imepoteza matumain sasa.....
Database ni uongo,Sekretarieti ya Ajira Mbona hamtoi placements za november? Mnazichelewesha! Na vipi zile 1769 za database mbona mwezi wa pili umeisha na hatujaona hao 1769 wa database kulikoni?
Sekretarieti ya AjiraDatabase ni uongo,
Kama database ingekuwepo basi kwenye account za wasaka mirija ya asali , zinge waonyesha kuwa wamefauli oral ila kutokana na uitaji na idadi ya walio fauli , utumishi imeamua kuweka kwenye database kwa ajili ya job advatise nyingine.
Hii ingepelekea utulivu kwa wasaka mirija ya asali,
Tofauti na ilivyo Sasa watu wanaangalia status ambazo hazieleki Zina maanisha Nini.
Ukweli usemwe waziri alitudaganya , hamna hamna hamna database
Point....Siku zote lower your expectations, kuhusu database mi nona mtu usiipe matumaini ujipange na post zingine zitakazotoka.
Mfano mdgo ni nafasi za accounts assistant idara ya maji korogwe zilizotoka juzi, sidhani kama hakukuwa na watu wa kuwachukua database, maana November na December zimefanyika sahili za watu hao ASA, AICC jumlisha na WA TRA customs assistant na TMA wote imehusisha watu wa diploma za mambo ya accounting,
miaka ya nyuma Utumish walikuwa wanafanya replacement kutokana na taasisi inayoendana na salary hiyo ulipiga oral mfno ukifanya tra nafasi utakayokuwa replacement inaendana salary na ulipoomba.Siku zote lower your expectations, kuhusu database mi nona mtu usiipe matumaini ujipange na post zingine zitakazotoka.
Mfano mdgo ni nafasi za accounts assistant idara ya maji korogwe zilizotoka juzi, sidhani kama hakukuwa na watu wa kuwachukua database, maana November na December zimefanyika sahili za watu hao ASA, AICC jumlisha na WA TRA customs assistant na TMA wote imehusisha watu wa diploma za mambo ya accounting,
Miaka ya nyuma kama mwaka Gani?.....Kuna mtu nAmfahamu aliomba account assistant halmashauri akakosa akaja kupata TRA kama account assistant 2021, Sasa sijui kama salary scales za halmashauri na TRA zinafananamiaka ya nyuma Utumish walikuwa wanafanya replacement kutokana na taasisi inayoendana na salary hiyo ulipiga oral mfno ukifanya tra nafasi utakayokuwa replacement inaendana salary na ulipoomba ....Sasa data base wanayoisema wanatoa(mh:waziri) ni kama unavyoomba ualimu hujui unapangiwa wapi hapo wanazingatia miongozo yao ya utumishi tuchukue wa mwaka gan waliofaul mtihani
Database ni ufisadi kama ufisadi mwingne tu i.e escrow, Richmond's n.kSiku zote lower your expectations, kuhusu database mi nona mtu usiipe matumaini ujipange na post zingine zitakazotoka.
Mfano mdgo ni nafasi za accounts assistant idara ya maji korogwe zilizotoka juzi, sidhani kama hakukuwa na watu wa kuwachukua database, maana November na December zimefanyika sahili za watu hao ASA, AICC jumlisha na WA TRA customs assistant na TMA wote imehusisha watu wa diploma za mambo ya accounting,
TMA mmeitwa oral 265(tra) nafasi 71..wote 194 below ya 50% kupata kazi acha utani.!!hapo inatakiwa tuombe taratibu zao za usaili/ uwazi uwepo utumishi ...kumbuka watu wanakabidhiana officer (Katibu na naibu waziri) jana ?Watakuja na majibu tuzidi kusogea mbele za uso wa Mungu atajibu tu....Miaka ya nyuma kama mwaka Gani?.....Kuna mtu nAmfahamu aliomba account assistant halmashauri akakosa akaja kupata TRA kama account assistant 2021, Sasa sijui kama salary scales za halmashauri na TRA zinafanana
Kuna watu wanatoa majibu mepesi wakati tangazo lilisema wengne kwasababu nafasi hazitoshiTMA mmeitwa oral 265(tra) nafasi 71..wote 194 below ya 50% kupata kazi acha utani.!!hapo inatakiwa tuomba taratibu za zao za usaili/ uwazi uwepo utumishi ...kumbuka watu wanakabidhiana officer (Katibu na naibu waziri) jana ?
Na ndio maana mm nawaambia Kila siku waachie taasisi na mashirika Yaajiri kama kipindi Cha jk TU.Wazee wa 2015 kushuka chini mpaka ndevu zinaanza kuota mvi enyi PSRS hebu tuangalieni kwa jicho la ziada
Hapana tuseme tu ukweli wa Mungu, japokua sijapata kazi lakin nimeshuhudia vijana maskin wasio na connection wakapata kazi kupitia utumishi. Usitake kuturudisha nyuma tena kikubwa waongezewe resources wako vizuri.Na ndio maana mm nawaambia Kila siku waachie taasisi na mashirika Yaajiri kama kipindi Cha jk TU.
Haya malalamiko ya ucheleweshaji ya ajira hayatakuwepo. HAmtaki kuelewa haya , vijana wenu wanazeekea nyumban.
Utumishi Hawana rasilimali (resources) za kukithi mahitaji ya wasaka mirija ya asali , na HAta atu walaumi ni kutokana na uchumi wetu.
Raisi Samia wewe ni mpenda haki , ruhusu taasisi na mashirika waajiri wenyewe , itasaidia sana kupunguza malalamiko haya, tunayoyaona sasa🙏
Achanae uo ni mkandajiKuna watu wanatoa majibu mepesi wakati tangazo lilisema wengne kwasababu nafasi hazitoshi
Na ndio maana mm nawaambia Kila siku waachie taasisi na mashirika Yaajiri kama kipindi Cha jk TU.
Haya malalamiko ya ucheleweshaji ya ajira hayatakuwepo. HAmtaki kuelewa haya , vijana wenu wanazeekea nyumban.
Utumishi Hawana rasilimali (resources) za kukithi mahitaji ya wasaka mirija ya asali , na HAta atu walaumi ni kutokana na uchumi wetu.
Raisi Samia wewe ni mpenda haki , ruhusu taasisi na mashirika waajiri wenyewe , itasaidia sana kupunguza malalamiko haya, tunayoyaona sasa🙏
Na ndio maana mm nawaambia Kila siku waachie taasisi na mashirika Yaajiri kama kipindi Cha jk TU.
Haya malalamiko ya ucheleweshaji ya ajira hayatakuwepo. HAmtaki kuelewa haya , vijana wenu wanazeekea nyumban.
Utumishi Hawana rasilimali (resources) za kukithi mahitaji ya wasaka mirija ya asali , na HAta atu walaumi ni kutokana na uchumi wetu.
Raisi Samia wewe ni mpenda haki , ruhusu taasisi na mashirika waajiri wenyewe , itasaidia sana kupunguza malalamiko haya, tunayoyaona sasa🙏
Wakifanya hivyo sisi tusiokuwa baba kantuma, taasisi hizo tutazisikia katika bomba tu kuanzia TCRA, TPDC,EWURA,TANAPA,TRA, TPA ,WCF n.kNa ndio maana mm nawaambia Kila siku waachie taasisi na mashirika Yaajiri kama kipindi Cha jk TU.
Haya malalamiko ya ucheleweshaji ya ajira hayatakuwepo. HAmtaki kuelewa haya , vijana wenu wanazeekea nyumban.
Utumishi Hawana rasilimali (resources) za kukithi mahitaji ya wasaka mirija ya asali , na HAta atu walaumi ni kutokana na uchumi wetu.
Raisi Samia wewe ni mpenda haki , ruhusu taasisi na mashirika waajiri wenyewe , itasaidia sana kupunguza malalamiko haya, tunayoyaona sasa🙏
Hapana tuseme tu ukweli wa Mungu, japokua sijapata kazi lakin nimeshuhudia vijana maskin wasio na connection wakapata kazi kupitia utumishi. Usitake kuturudisha nyuma tena kikubwa waongezewe resources wako vizuri.
Sisi ndio wakuwatetea utumishi na kusimama nao japokua Wana mapungufu lakin maboresho kidogo Tu watasonga mbele. Wakirudisha huko Kama humjui mtu usitegemee kupata ajira