Umeongea fact sana👊 me nkitoka kwenye saili za PSRS nkirudigi home uwa kama naumwa hivi..mpaka nije nikae sawa ni week nzimaHii sehemu ya PSRS watu tunaichukulia poa sana kwa kusema tu in easy way et kuna mchakato ilihali ni sekta iliyobeba matarajio ya asilimia 70 ya familia za watanzania.amini nawaambia kilio cha PSRS kuchelewesha mchakato wa ajira ni kikubwa zaidi kuliko kuchelewa kwa SGR wala kuzuiwa kwa mikutano ni vile tu watu wameamua kuwa wavumilivu ila uhalisia haupo hivyo.wangejua watu wanasoma hawalali na wanasafiri usiku kwa usiku na bado wanaingia kwenye mtihani asilimia kubwa hata kuoga hawajaoga na wengine wanakwea bodaboda kwa gharama kubwa,matokeo wanatoa usiku mtu anasafiri usiku kwa usiku anawahi hiyo oral then hatua ya mwisho ambayo ndio imebeba matumaini anashindwa kujua yupo nafasi gani,ni heri ajue amekosa mapema atazoea kama ambavyo huwa anakosa kwenye written na maisha yanasonga.
Its pain sana kwa mtu aliyeingia oral ila ni easy kusema kwa aliyelamba asali au ambaye hakufanya oral.
Sasa hiyo ni saili 1 na watu tushapiga maktime za kutosha hyo nenda rud dom na bdo asli tunaiskia t kwenye bomba haya mambo aisee sio poa kbsaUme
Umeongea fact sana👊 me nkitoka kwenye saili za PSRS nkirudigi home uwa kama naumwa hivi..mpaka nije nikae sawa ni week nzima
Raisi Samia sikia vilio vya vijana juu ya psrs, kusema za ukweli, vijana wamekata tamaa na psrsHii sehemu ya PSRS watu tunaichukulia poa sana kwa kusema tu in easy way et kuna mchakato ilihali ni sekta iliyobeba matarajio ya asilimia 70 ya familia za watanzania.amini nawaambia kilio cha PSRS kuchelewesha mchakato wa ajira ni kikubwa zaidi kuliko kuchelewa kwa SGR wala kuzuiwa kwa mikutano ni vile tu watu wameamua kuwa wavumilivu ila uhalisia haupo hivyo.wangejua watu wanasoma hawalali na wanasafiri usiku kwa usiku na bado wanaingia kwenye mtihani asilimia kubwa hata kuoga hawajaoga na wengine wanakwea bodaboda kwa gharama kubwa,matokeo wanatoa usiku mtu anasafiri usiku kwa usiku anawahi hiyo oral then hatua ya mwisho ambayo ndio imebeba matumaini anashindwa kujua yupo nafasi gani,ni heri ajue amekosa mapema atazoea kama ambavyo huwa anakosa kwenye written na maisha yanasonga.
Its pain sana kwa mtu aliyeingia oral ila ni easy kusema kwa aliyelamba asali au ambaye hakufanya oral.
Kweli mkuu na ndio maana kwenye utafutaji hatuumii kukosa maana tunajua kuna wenzetu wamefanikiwa ipo siku zamunyetu itafika, kinachotuuma ni ile kauli ya mchakato na mchakato usioisha, maana swala la kukosa ni lazima watu wapate na wengine wakoseSasa hiyo ni saili 1 na watu tushapiga maktime za kutosha hyo nenda rud dom na bdo asli tunaiskia t kwenye bomba haya mambo aisee sio poa kbsa
Wawakalie kooni waache kufnya kz kimazoea wawe waadilifu kama nguvu kz ndogo waongezewe wanatuumiza vjanaRaisi Samia sikia vilio vya vijana juu ya psrs, kusema za ukweli, vijana wamekata tamaa na psrs
Ni kweli ss unapoachwa njia panda muda mrefu pasina kujua hatma yko kw kweli maumivu ynakua ni mara 2Kweli mkuu na ndio maana kwenye utafutaji hatuumii kukosa maana tunajua kuna wenzetu wamefanikiwa ipo siku zamunyetu itafika,kinachotuuma ni ile kauli ya mchakato na mchakato usioisha.maana swala la kukosa ni lazima watu wapate na wengine wakose
Raisi Samia akiruhusu taasisi na mashirika yafanye usaili. Kijana wangu utapata asali mapema sana.Hii sehemu ya PSRS watu tunaichukulia poa sana kwa kusema tu in easy way et kuna mchakato ilihali ni sekta iliyobeba matarajio ya asilimia 70 ya familia za watanzania.amini nawaambia kilio cha PSRS kuchelewesha mchakato wa ajira ni kikubwa zaidi kuliko kuchelewa kwa SGR wala kuzuiwa kwa mikutano ni vile tu watu wameamua kuwa wavumilivu ila uhalisia haupo hivyo.wangejua watu wanasoma hawalali na wanasafiri usiku kwa usiku na bado wanaingia kwenye mtihani asilimia kubwa hata kuoga hawajaoga na wengine wanakwea bodaboda kwa gharama kubwa,matokeo wanatoa usiku mtu anasafiri usiku kwa usiku anawahi hiyo oral then hatua ya mwisho ambayo ndio imebeba matumaini anashindwa kujua yupo nafasi gani,ni heri ajue amekosa mapema atazoea kama ambavyo huwa anakosa kwenye written na maisha yanasonga.
Its pain sana kwa mtu aliyeingia oral ila ni easy kusema kwa aliyelamba asali au ambaye hakufanya oral.
NASHAURI TUWE TUNA WATAG HAO Sekretarieti ya Ajira KILA POST NA KAMA KUNAKIONGOZI WA KUTAG TUWATAG GADI WAKEREKE NA HIZI KELELEWabakie tu sema waongeze ufanisi wko slow sana hakika...haiwezkn post 1 inachukua mieiz mpk 8 kukamilika mchakto IT IS NOT FAIR kwa kweli
Sekretarieti ya AjiraHii sehemu ya PSRS watu tunaichukulia poa sana kwa kusema tu in easy way et kuna mchakato ilihali ni sekta iliyobeba matarajio ya asilimia 70 ya familia za watanzania.amini nawaambia kilio cha PSRS kuchelewesha mchakato wa ajira ni kikubwa zaidi kuliko kuchelewa kwa SGR wala kuzuiwa kwa mikutano ni vile tu watu wameamua kuwa wavumilivu ila uhalisia haupo hivyo.wangejua watu wanasoma hawalali na wanasafiri usiku kwa usiku na bado wanaingia kwenye mtihani asilimia kubwa hata kuoga hawajaoga na wengine wanakwea bodaboda kwa gharama kubwa,matokeo wanatoa usiku mtu anasafiri usiku kwa usiku anawahi hiyo oral then hatua ya mwisho ambayo ndio imebeba matumaini anashindwa kujua yupo nafasi gani,ni heri ajue amekosa mapema atazoea kama ambavyo huwa anakosa kwenye written na maisha yanasonga.
Its pain sana kwa mtu aliyeingia oral ila ni easy kusema kwa aliyelamba asali au ambaye hakufanya oral.
Sekretarieti ya AjiraRaisi Samia sikia vilio vya vijana juu ya psrs, kusema za ukweli, vijana wamekata tamaa na psrs
Sekretarieti ya AjiraHii sehemu ya PSRS watu tunaichukulia poa sana kwa kusema tu in easy way et kuna mchakato ilihali ni sekta iliyobeba matarajio ya asilimia 70 ya familia za watanzania.amini nawaambia kilio cha PSRS kuchelewesha mchakato wa ajira ni kikubwa zaidi kuliko kuchelewa kwa SGR wala kuzuiwa kwa mikutano ni vile tu watu wameamua kuwa wavumilivu ila uhalisia haupo hivyo.wangejua watu wanasoma hawalali na wanasafiri usiku kwa usiku na bado wanaingia kwenye mtihani asilimia kubwa hata kuoga hawajaoga na wengine wanakwea bodaboda kwa gharama kubwa,matokeo wanatoa usiku mtu anasafiri usiku kwa usiku anawahi hiyo oral then hatua ya mwisho ambayo ndio imebeba matumaini anashindwa kujua yupo nafasi gani,ni heri ajue amekosa mapema atazoea kama ambavyo huwa anakosa kwenye written na maisha yanasonga.
Its pain sana kwa mtu aliyeingia oral ila ni easy kusema kwa aliyelamba asali au ambaye hakufanya oral.
Sekretarieti ya AjiraMimi naanza na kutoa rai(ushauri).
-Waaimarishe/waboreshe mfumo wa kuchambua maombi yanayotumwa, kama vipi ufanyike automatically ingawa watu wa
-Waongeze nguvu kazi(Rasilimali watu)
Sekretarieti ya AjiraShida unakuta hata admini wa page zao na kurasa zao huwa anascroll tu kuwahi chini.kuwahi kusoma post za nyuzi nyine na coment ya mwisho.
wawekewe ukomo wa muda matokeo ya mwisho kutoka baada ya usailiMimi naanza na kutoa rai(ushauri).
-Waaimarishe/waboreshe mfumo wa kuchambua maombi yanayotumwa, kama vipi ufanyike automatically ingawa watu wa
-Waongeze nguvu kazi(Rasilimali watu)
Sio Miezi 8 tu Mkuu zingine Hadi mwaka, Mfano ya TRA imechukua mwaka, mana nafasi zilitangazwa mwaka Jana mwezi wa tatu interview ya oral watu wamekuja kuitwa mwaka huu na bado tu Mchakato hujakamilika, kweli Ajira ni mchakato.. just imagineWabakie tu sema waongeze ufanisi wko slow sana hakika...haiwezkn post 1 inachukua mieiz mpk 8 kukamilika mchakto IT IS NOT FAIR kwa kweli